"Taifa limevimba. Wakulima Mahindi yanawaozea na Mpunga bei imeporomoka sababu ya mchele kutoka nje na usiolipiwa Kodi. Wahisani wamezuia misaada ( sababu ya kashfa ya #TegetaEscrow ) Kiasi Serikali haiwezi hata kujiendesha. Unapoona wanasiasa wanagawana vyeo katika nyakati kama hizi ujue Taifa halina Viongozi bali wasaka utawala. Wasaka utawala badala ya uongozi ni #WasakaTonge tu" Zitto Kabwe
Hili Taifa baada ya kuendelea. Linazidi poromoka. Na wanaolipolomosha ni hawa viongozi uchwala. Yaani walishapewa madaraka ni shida tabu tupu, wanawaza kujaza mifuko yao. Corrupition tupu. Ndani ya nchi. Yaani hata jilani zetu wanajielewa. Kuloko sisi tuliokazana na kusema kisiwa cha amani. Lakini hayo mambo yake ni tabu tupu. Tuamke wananchi. Tuwachachamalie hawa watu. Wanaharibu nchi
ReplyDeleteMheshimiwa Zitto..wewe ni msaka nini?
ReplyDeletehuyu zito ni bwege kabisa, msaliti mkubwa, jamaa kumbe hana maana kabisa, watu wanaombea mabadiliko yeye anataka kuharibu, Mhs tunaomba bwana utuachie Tz yetu turudi kwenye mstari.
ReplyDeleteTena Zitto mshen..i tu hana maana yyt aende kigoma akakamue mawese, pumb...u zake!
ReplyDeleteililosema zito la uongo lipi?kama kusema ukweli ni usalitii poleni sana.upinzani hakuna ukawa wanaweweseka sasa.tusubili ugonvi nani agombee uraisi.
ReplyDeleteKwa sababu amefukuzwa CHADEMA ndio maana anaongoea hivyo, angekuwa yupo CHADEMA asingethubutu kusema hayo maneno. Hata hivyo yeye kuingia kwenye siasa si anatafuta tonge tu, kama hatafuti tonge si angefanya kazi nyingine kwa nini siasa. Tanzania tunahitaji mabadiliko hongera UKAWA, Mungu awasimamie mfanikishe malengo yenu.
ReplyDeletemimi nawaombea Mungu UKAWA tu wafanikiwe kwenye mambo yao, wanafiki kama kina zito watabaki hivyo hivyo na ulimbukeni wao!!! VIVA UKAWA, GOD BLESS TANZANIA.
ReplyDeletemiye namwomba zitto awataje wale aliosema wameweka mabilioni uswisi ndio tutamwona wa maana!!!
ReplyDeleteNi kweli zitto hafai kabisa
Delete