Baba Askofu Kilaini Akiri Kupokea Milioni 80.5 Kutoka kwa Rugeemanila

Askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba Methodius Kilaini amekiri kupokea milioni 80.5 kutoka kwa James Rugemalira na akisema hii si mara yake ya kwanza kupokea fedha toka kwa mfanyabiashara huyo kwakuwa mara nyingi huwa anachangia kwa uwazi miradi ya jamiii. Na michango amesema michango inayopelekwa kwake haina siri hivyo washikwe wezi halisi sio yeye
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad