Diamond Azidi Kuchanja Mbuga achaguliwa Kwenye 'We Are The world Africa'

Hahaha muzeee wa project a.k.a msaniii bora East africa A.k.a ngazi ya waliopotea amechaguliwa kwenye Le project mpya ya We are the world africa

Project hiyo imewashirikisha wasanii wote bora kutoka Afrika ,kwa kutambua uwezo nafasi ya Dai hawakusita kumchagua.....

Tokea kuisha kwa fiesta haya ndio matukio makubwa aliyofanya Dai huku wale wasanii wa fiesta wakisubiri mwakani msimu wa fiesta uanze..

1. Kupiga shoo zaidi ya 15 hapa tz na nje

2. Kuperfom kwenye Big brother

3. Kutoa nyimbo mpya yenye Video kali saana

4. Kuvunja rekodi za youtube, mkito.com na Mziiki.com

5. Kutoa nyimbo na msanii kitoka Nigeria "Waje"

6. Kuujaza uwanja(stadium) Iringa yeye mwenyewe

7. Kuchaguliwa kwenye Project ya We are te world Afrika

8. Jana Kuingia Kwenye Jumba la Big Brother Kupiga Mastori na Washiriki

9. Stil counting



Utaipendraaaaaaaaaaaa
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na iyo ni nyota ya wema ama ni mwenyezimungu ndio kangarisha nyota yake pengine kuwachana na wema ni kheir kwake kwa kufanyikiwa zaidi Allah bless you.

    ReplyDelete
  2. diamond ni bidii yake hakuna cha wema wala nini!! kaza buti diamond!!!

    ReplyDelete
  3. Mwenyeezi Mungu ndo mweza wa yote! Muogopeni Mungu mnaotaka kumchafua kijana wa watu mko wapi? Kila la kheri baba kaza buti onyesha kwa vitendo kuwa wewe ni nani!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad