Diamond Amezidi kuwapa Hasira Team Wema Baada ya Kupost Picha Instagram Akiwa na Zari South Afrika na Kuuliza hili Swali 'Otea nani yuko nyuma angu..? Guess, who is behind me...?'
Diamond Yupo South Afrika kwa muda sasa Ambapo Usiku huu Atatoa Burudani ndani ya Jumba la Big Brother Africa
Diamond Azidi Kuwatia Wivu Team Wema, Aenda South Africa na Zari The Lady Boss
0
November 29, 2014
Tags