Dully Sykes na Maunda Zorro Watoa Wimbo wa Matusi Mwanzo Mwisho..Download Hapa
0Udaku SpecialNovember 19, 2014
Dully Sykes na Maunda Zoro Wameachia Wimbo wenye Mahadhi ya Matusi Ambapo Dully anasikika akiimba mambo ya chumbani huku Maunda Zorro Akilia kwa Mahaba.. Unaweza Kuudownload wimbo huo Hapa chini usikie mwenyewe...