Kusema ukweli wanaume tumeibiwa sana na hawa wadada wenye kujifekisha kila kitu kuanzia kucha za miguu mpaka nywele kila kitu ni fake ..Kucha feki, Mahipsi feki, Makalio feki, Maziwa feki , ngozi ya uso feki..kope feki..mweeee..Tumechoka sasa embu kuweni original basi ..Ndo maana wengi wenu hamuolewi....mtu anakupenda ukiwa feki mkifika chumbani ukivua madude yako unakuwa mtu mwigine kabisa....Tumechokaaaa
By TeamWanaume
Feki Kuanzia Ukucha Mpaka Unywele..Wadada Mmetuibia Sana Sasa inatosha
3
November 04, 2014
Tags
Ni hayo ya 'ku-fake' ndio mnayoyataka wanaume hasa vijana wa mjini, mtu akiwa original mnamwona mshamba..........kazi mnayo!
ReplyDeleteWajinga ndio waliwao
ReplyDeleteYaani ni fekero tuu.njoo kwenye camera wanazotumia kuji edit fake,nauliza ukipiga picha kawaida haupendezi mpaka uji edit?uwe kama riri sasa mtu akikutana nawewe sokwe huyu wanaume mnakazi.mkiwatongoza waambieni kabisa usije upaka kitu atakujazia matope usoni foundation umuone mrembo sihuyu.tuje kwa shepu mwambie hatakama aliteleza bafuni akapigwa Pasi aje hivyohivyo maana wanajijaladia hatari.sijui hawajiamini,twende kwenye nywele mama wee akitoa hizo peruviani taahira huyu huko kichwani bado mikorogo kuna ramani za viluilui mwilini.ukimuona Demu insta naukimuona live unaweza ukimbie ukizani umekutana na msukule.kumbe ndio Yule wa kuji edit.likikupata pole
ReplyDelete