Helicopter ya Tanapa Yaanguka Dar na Kuuwa Watu Wote Pamoja na Rubani


Wakati tukiendelea kusikilizia habari za ESCROW habari za hivi punde zimenifikia toka kwa jamaa yangu wa karibu sana kuwa helikopta ya maliasili (TANAPA)  imedondoka maeneo ya Kipunguni karibu na Moshi bar na kuua wote waliokuwepo ndani yake wakiwemo polisi na Rubani.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad