Jambo la aibu na la kufedhehesha sana limetokea leo katika mdahalo uliondaliwa na taasisi ya mwalimu Nyerere,Ubungo. Katika mdahalo huo , vijana ambao mpaka sasa hawajafahamika walisisima gafla wote kwa pamoja wakiwa na mabango yanayopigia debe katiba inayopendekezwa na gafla fujo kubwa zikaibuka na watu kuanza kupigana.
Kada wa CCM bwana Paul Makonda, pichani, inasemekana alimpiga Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba Mzee Joseph Sinde Walioba kwa chupa ya maji. Hili ni jambo la kwanza la aibu ya aina yake kutokea nchini kwa kijana mdogo kumpiga waziri mkuu wa nchi na chupa ya maji. Tunatumai vyombo vya sheria vitachunguza tukio hili na kuwachukulia hatu vijana wote waliohusika katika fedheha hii.
Huyo katumwa kamati ya ufundi walewazee mshusheni busha huyu mtt kumamae alipakate mpaka ahera hana adabu.pigeni ndumba takatifu.jinalake hilohapo mpeni tuzoyake ya ushindi unampigia nini warioba wemkundu kuwaka huna adabu ngojeaaa wananchi tumechoka now
ReplyDeletejamani ndugu zangu embu tuelewe ukweli katiba in hatua kuu tatu ya kwanza kukusanya maoni, ya pili bunge la katiba na ya tatu kura za maoni nisichoelewa mimi ni kuwa kama maoni ya tume ya jaji Warioba ni sahihi na hayakutakiwa kujadiliwa na kupigiwa kura na bunge la katiba ni kwa nini tuingie gharama za kuwa na bunge hilo?je ni ukweli kuwa wabunge wote walitakiwa kukubbaliana na kila kitu kilichopendekezwa na tume?kama ndio hatukuwa na haja ya kuwa na hilo bunge swala la msingi kwanini Jaji Warioba ana amini kila kilichopendekezwa naye kilikuwa sahihi?je kama ana amin katika misingi ya demokrasia na ukweli kwanini asikubaliane na yaliyotokea bungeni?kwangu binafsi nafikiri kuna haja ya watu kupata elimu zaidi kuhusu kazi na malengo ya taasisi zote tatu za mchakato wa katiba sababu hata hao ukawa kama wanaamin katika demokrasia ambayo wanaipigania kila siku wasingetoka bungeni sababu demokrasia ni mfumo wa kiunwana na unakufanya ukuabliane na kutofutiana kwa mitizamo na wenzio! inakulazimu kukubali pale wenzio wanapokushinda kwa hoja na nguvu y a kura.
ReplyDeletewewe unaandika utumbo pamoja na kuwa jaji warioba aliku mwekiti wa tume hiyo ikumukwe pia yeye ni raia wa nchi hii na ana haki kama raia yoyote kutoa maoni yake kama ni u-ccm yeye ni ccm kuliko wewe, kuhusu kutoka bungeni tulio wengi tulishuhudia kwa ndani na nje mizengwe iliyokua ikifanywa kuhakikisha lile walitakalo ccm ndio liwe, kumbuka Tanzania ya kizazi hiki si kile cha ndio mzee, watazame nyakati hao ccm wasituletee balaa. hilo bunge la katiba unalolizungumzia hapo ni bunge la ccm na vibaraka wao.
DeleteHapa unaoendelea ni upumbavu tu, Makonda anajifanya yeye CCM sana kuliko Warioba, yale ni maoni yake sio ya tume ya Katiba, kwani nyinyi mbumbu tume ile siilisha vunjwa? kwani tume ikivinjwa na waliokuwa wanafanya kazi ile alikufa? na niwananchi wa kawaida ambao wanahaki ya kutoa michango yao mbalimbali katika midaharo kama ile, yeye Makonda ni nani katika katiba hii? kama alikuwa mjumbe wa bunge maalum la katiba? sililisha vunjwa? anauhalali gani kuongelea katika na Warioba asiwe na uhalali? umbumbu tu na kutumika kama Kondom ila atakiona cha moto na CCM wake
ReplyDeletemdau uko sawa kabisa watu kama huyu zuzu makonda wamejaa kule ccm na wanacho kifanya wao ni kutumika vibaya, sijaona mantiki ya yy na wajinga wenzie kufanya vurugu pale angeenda mfanyia nape na kinana kule kama yeye aliiikubali hiyo katiba aachie wengine walioona mapungufu yake wawaelezee wananchi, kwakua zuzu makonda anaakili ya nzi yeye aliona pale ni mahali pake pa kuonyesha upuuzi wake wa kutafuta umaarufu Idiot,..nonsense, shit...
DeleteWote mnaoandika bila kujua ukweli ni mapoyoyo!
ReplyDeleteKazi ya Warioba ilishaisha na sasa ni zamu ya wananchi,sasa kama nyie sio wananchi tuachieni sisi wananchi tupige kura.Tatizo liko wapi hadi mzee wawatu kaacha kunywa ile kitu roho kwaaaatuuu na kukimbilia kuwaponda wabunge wetu?
Anonymous hapo juu hata lugha unayotumia inaelezea wew ni mtu wa namna gani ! ukweli utabaki pale wenye busara watapima ila kwa muundo wa nchi yetu ni ngumu sana kwenda ikulu kwa kutumia violence hawatafanikiwa hatuhitaji hvyo watu wasijifanye manabii kwenda shetani ana afadhali yao! sudhani kama hiyo UKAWA ina suluhu ya matatizo yetu hata walichotofautiana kule bungeni hakikuwa maslahi ya wananchi ilikuwa ni muundo wa serikali ambayo kwa asilimia kubwa ni maslahi ya viongozi wew ulisikia UKAWA wakitoka bungeni kwasababu ya sera za kilimo au mifugo ? ndugu yangu tumia akili uliozaliwa nayo ni zawadi kutoka kwa mungu usikubali mtu ageuze kichwa chako sterling ya gari! Fikiria ndugu yangu hawa wanasiaisa alivyo vichwa kuvimba tu badala ya kwenye katiba waeke sera za kuwawezesha wajasiriamali wao wanahangaika na kutafutia vijana ajira jiulize lipi bora kuwawezesha vijana wajiajiri au kuwaleta wazungu hapa wawekeze alafu waajiri vijana wetu! haya yalikuwa ni mambo ya msingi kwenye katiba hata Mzee wetu Jaji warioba alipashwa kulifanyia kazi hili na sio kukimbilia muundo wa serikali na wew unaona ni sawa kabisa hilo?
ReplyDeletehaya majamaa hayana adabu kabisa
ReplyDeleteAnajiona jamaa yakwamba yeye ndio muelewa wa mambo na msomi, kumbe zoba tu, nani anaipenda ccm kwa mabo yao wanyofanya, sasa hili jamaa liwekewe wanted huko mitaani, linaonekana limepewa kodogodogo na ccm likafanye hivyo. pumbavu sna, stupid people, wewe watu wote wawe na uwalakini, alafu wewe unatoka huko unajifanya mjuaji. stupid
ReplyDeleteduh kaka angalia kwanza kabla ya conclude jamaa yangu narudia tena tutumie akili zetu jamani wenzetu wanatutumia kwa manufaa yao ohhooo
DeleteLello munana umeshawahi kumsikiliza Warioba akihutubia na ukasikiliza hotuba yote ili kujua kuwa ni swala la muungano pekee? Kuna masuala ya kutofungua akaunt nje ya nchi ambayo rasimu ya pili ilipinga lakini rasimu ya Chenge ambaye yeye ana akaunti nje imeyapotezea.
ReplyDeleteSioni tatizo la hzo account za nje !chikilia Mtanzania kwenye viwanda nje ya nchi he ataweka pesa kwenye mabenki ya ndani? Mim tatizo ninaliliona Ni namna ya kudhibiti utokaji WA pesa nje ya Tanzania haswa za kigeni ,lakni nasema bado Kuna ya msingi zaidi ya hili ambayo yanaguza wengi nafikiri niwaombe tena watanzania wenzangu tuwe political awareness na creativity kwasababu most of politician tulionao wanafanya cheap politics namaanisha wakipata lolote ambalo wanajuwa watakusanya halo na sababu wanajuwa kuwa wengi wetu tulisha ahirisha kufikiria tunawategemea wao wanalitumia!kwa kumalizia Tu ni kwamba uvivu wetu WA kufikiri ni mtaji WA wanasiasa wetu.
ReplyDeleteLelo unafikiri ni mkwanini Suala l a viongozi kutokuwa na Account nje ya nchi lilikuwepo kwenye rasimu lakini 'likafutwa' kwenye katiba pendekezwa?
ReplyDeleteYaliondolewa mengi tu sio kuwa account peke yake ndo imeondolewa nasema tena hta Rais angekuwa account nje sion shida, kinachotakiwa pesa zipi anaweka huko na amezipata wapi sababu kama anaiba anaweza kuziweka hata huku ndani tusijuwe! mimi nafkiri la msingi kabisa ambalo hata wasaka tonge wanaliogopa ni uadilifu! tunatakiwa kuweka misingi ya uadilifu sasa cha kushangaza hata Jaji warioba mwenyewe uadilifu wake nautilia shaka kwasababu alitumwa kukusanya maoni , na maoni hayo yalitakiwa kwa mujibu wa sharia ya mabadiliko ya katika yapelekwe bungeni kujadiliwa na kupigiwa kura sasa kwenye hatua kama hiyo kuna ambayo yatakubaliwa na kuna yatakayopita! sasa nina shangaa anashupalia kuwa maoni yake yalipashwa kupita yote kama hvyo kazi ya lile bunge ni nini?na hta wabunge wangeyapitisha sisi wananchi tulikuwa na nafasi ya kuyakataa kwa kura je angelalamika kama anavyofanya?.
ReplyDeleteYote kivipi mkubwa? Hujanijibu kwa nini ilifutwa hiyi sehemu inayoongelea kuwa na account za nje ambazo ni vigumu kuzi-handle. Hivyo vinavyozungumzia maadili vilikuwepo na vikanyofolewa na huwa kwenye mijadala mbalimbali hasa hasa ITV huwa vinajadiliwa ,serikali tatu ni sehemu tu ya mjadala. Chenge na Kikwete wanaposema kuwa wamebakisha asilima 80 nikuwa wamebakisha vile 'visivyo na madhara kwao'. Hizo 20% ndio mambo ya wananchi kuwadhibiti wabunge wao bila kusubiri uchaguzi mkuu,ukomo wa mbunge kama ambavyo rais ana ukomo,kupunguza ukubwa wa baraza la mawaziri n.k
ReplyDelete