Star wa filamu Tanzania Irene Uwoya ambaye ndoa yake na Ndikumana Katauti wa Rwanda iliingia katika gogoro zito na kila mtu kuishi peke yake wanataka kuishi tena pamoja !.....Picha mpya za Irene Uwoya akiwa na Ndikumana zimetoka. Inadaiwa kuwa Uwoya alienda Rwanda kumtembelea Ndikumana ambaye wamezaa mtoto mmoja. Hizi picha zinaonyesha kama vile Uwoya alikuwa akiagwa na Ndiku kurudi Tanzania ingawa Uwoya anaonekana hana raha na sababu bado haijulikani.
Je kwakwuangalia picha hizo, unamzungumziaje Irene?