Kwa Mwananchi wa Kawaida kama mimi na wewe unataka tupewe nini tuweze kujua kwamba vurugu alizoletewa Mh. J.Sinde Warioba ni mpango wa Chama Tawala?. Ni wazi hao ndiyo waliokuwa wanapinga rasimu ya pili, hao ndiyo waliondaa Katiba wanayodhani itawafaa wananchi, Wao ndiyo waliokuwa wakimtolea lugha za kashfa na matusi paispo kukanywa kwenye Bunge la Katiba. Tunachosahau kama watanzania ni Maadili. J. SInde Warioba ni Mwananchi na ana haki ya kutoa maoni kulingana na katiba inayopendekezwa. Tatizo ni kwamba Chama Tawala wanasahau kwamba taaluma si siasa na hivyo watashindwa kuendesha Taifa kama wataendelea kufanya vioja hivi.
Baba mdogo: nilidhani huu uhuni ungelifanywa tu na vijana wachanga wa siasa..kumbe hata sisi? Huyu mzee si alikuwa waziri mkuu anaestahili ulinzi? Hata kama amekosea si tuna taratibu zetu za kistaarabu?.. tumekuwa maskini hoja kiasi hiki? Msiyachukulie poa yaliyotokea bukinabe! Nitastaajabu sana kama hutawachukulia hatua hawa watu.
Chezeni tu ccm wananchi tunayaonayote mnayoyafanya natumeshaamka kifwatacho mtaomba poooooooo ccm hamna akili hamna utashi wakuchanganua mambo mmebezi kwenye ubabe sasa mtakula jeuri yenu.tunataka haki hatujafurahishwa nakitendo mlichomfanyia warioba.tutaona kwenye uchaguzi ujao mkitumia mabavu basi bungeni hakai mtu ya Burkina Faso yatafwatia huku tunawalipua mbwa nyie mnalazimisha mambo hatutaki.
ReplyDeleteAliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea!
ReplyDeleteWaziri mkuu dhaifu kushinda wote kwani ni pekee aliyetemeshwa uwazuri mkuu baada ya mabadiliko ya baraza la mawaziri.
Hakufaa kabisa kuwa hata jaji na inawezekana alidesa kama ndumbaro na kupata hizo shahada zake za kusaini special reserve pale library!
Wewenae nimiongoni mwahao wasenge na wafirwaji ccm.
ReplyDeleteWarioba kwa kiingereza now you are policaly total finished, kwa kihindi kusheni, kwa kiswahili umekwisha kisiasa, usidanganywe, utavuliwa nguo na umri wako huwezi tena kuchutama, utaaibika na kuwa kichekesho. Yalokukuta jana ni wewe kutaafuta umaarufu baada ya enzi zako, hizi enzi wachie akina Nape, Lissu, Nchemba, Zitto,na wengine kama wao wapambane sio wewe Jaji Mkuu Msitaafu, Waziri Mkuu Msitaafu, Mwenyekiti wa Tume ya MKJT, tulia ule pensheni ya kazi zako nzuri USIJIFANYE UKAWA NJE YA UKAWA, REJESHA KWANZA KADI YA CCM, Sheria iliyokuteua kuchakata Rasimu ya katiba ilikwisha kufuta, Mzee tulia utaibika. Kazi unayoifanya sasa mpaka mpaka unapigwa ukumbini, inatupa picha yaliyomo kwenye rasimu uliyaandika kwa ahadi, sasa unawalidhisha, na unakomaa inzi kufia kwenye kidonda, mzee usidanganywe subili kura za wananchi ndio mwamuzi wa mwisho, unavyofanya unajivunjia heshima na kuvuja sheria iliyokuwa imekupa wenyekiti na unamuaabisha yule aliyekuwa amekuteua.
ReplyDelete