Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Bw Ahmed Kipozi ameiba jumla ya mifuko 700 ya sementi aliyokabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bi Mwantumu Mahiza. Akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani jana, Bi Mahiza alidai kwamba alimpa Kipozi jumla ya mifuko 1000 ya sementi kwa ajili ya ujenzi wa shule lakini Bw Kipozi alitumia mifuko 300 tu huku akiiba mifuko 700 na kuipeleka kusikojulikana.
Kipozi amepewa siku 2 (masaa 48) awe amerudisha mifuko hiyo aliyoiba vinginevyo cha moto atakiona. Haikuweza kufahamika mara moja ikiwa mtuhumiwa huyo atashindwa kurudisha sementi hiyo aliyoiba atachukuliwa hatua gani.
Source: RFA/Jamii Forums
huyu anatakiwa afungwe haraka, wala cyo mtu wakumuonea huruma huyu, enzi za Nyerere watu kama hawa hawakuwepo, kwanza hata kuthubutu watu walikuwa wanaogopa, nashangaa sasa hivi, watu hawaogopi hata chembe, wanajizolea tu, aiseeeee!!!! ngoja UKAWA waingie madarakani.
ReplyDeleteSerikali hii kila kiongozi ni mwizi, ndio maana nchi haiendelei
ReplyDeleteWamuache aibe sibasi,kunakiongozi ambae hajaiba katika nchi hii hawa ambaowako madarakani?mbona karibuwote majambazi wakufaa kufa.sembuse huyu wamifuko 700nisawa nahajaibakitu.kunya anye kuku akinya bata kaharisha kumamae zao wamuache nawapige kimya wote majambazi tu hakuna wakumuhukumu mwenzie tena wafyate midomo namikundu Yao.maana watanzania tunajua viongozi wengi majambazi tu.
ReplyDeleteViongozi wa CCM hao. Jamani UKAWA ndio kila kitu 2015
ReplyDelete