Mlemavu wa Macho Aelezea Jinsi Alivyochukua Kichapo Kwenye Vurugu za Mdahalo wa Katiba

Amoni aliekuwa mbunge wa bunge maalumu la katiba ambae ni mlemavu wa macho ametoa taarifa kwa vyombo vya habari na kuandika kwenye ukurasa wake wa wakijamii kuwa amepigwa na kupasuka na vijana wa ukawa na wakati wanampiga walikuwa wakimwambia kuwa “koma na acha kuitetea CCM’‘ kwa kweli nasikitika sana,mimi sioni,lakini nilikuwa na pigwa na mikono na kurushiwa kiti hadi pale ndugu yangu Makonda aliponiona nakuamua kuja kunisaidia,sina lakusema ila najua MUNGU ANAWAONA NA ANAWAJUA NA YEYE ATA WAPIGA HAPA HAPA DUNIANI KAMA WALIVYONIPIGA MIMI NAKUNIPASUA KICHWANI AMBAE SIJAWAHI KUWAPIGA,”

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acha uongo, huoni halafu unasema UKAWA ndio wamekupiga.

    ReplyDelete
  2. umejuaje kama ukawa wamekupiga??? acha uongo wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad