Kuna madai ya watu kuwatoa kafara watoto wao, wake zao au hata wazazi wao ili waweze kufikia mafanikio wanayotaka.
Hili la mtoto wa Mgimwa kugoma kabisa kifo cha utata cha baba yake kisijadiliwe Bungeni huku akijua kuwa anajadiliwa kama Waziri kama anavyoongelewa Hayati Baba wa Taifa ambaye pia anao watoto lakini haionekani kwamba si busara kumjadili baba wa taifa kama inavyotaka kuoneshwa kwamba ni Nongwa kumjadili Mgimwa eti kwa kuwa ameshafariki.
Hii inanitia shaka sana huenda alishirikishwa kwa malipo ya Ubunge.
Ni mawazo tu kwasababu haya mambo yapo je wewe unaonaje kuhusu hilo Swala?