Overconfidence kwa Msichana itakufanya Usiolewe

  
Ukipenda kuongea na watu, kwa kweli utapata mengi sana na utaongeza maarifa.

Huu ni ukweli nilioufanyia mahojiano na wanaume mbali mbali ambao hawajaoa.

Wanadai ya kwamba msichana anayejiamini sana kupita kiasi ana safasi ndogo sana ya kuolewa. Kwa sababu wanaume waliowengi hujisikia wanyoge sana kwenye ndoa, wanawake wanapokuwa wao ni kama watawala katika familia na wenye maamuzi(tena wanawake kama hao wanakiburi sana, kutokana na kujiamini kwao.)

Wanaume walioa wanawake wanaojiamini kupita kiasi, wanadharaulika sana mbele ya jamii. 

Wasichana kazi kwenu mnaotaka kuolewa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad