Rais Uhuru Kenyata wa Kenya awa Raisi wa Kwanza Kupanda Daladala Kutoka Ofisini Kwenda Mjini
8
November 06, 2014
Rais uhuru Kenyata ameendelea kujizolea umaarufu mkubwa nchini Kenya kutokana na matukio mengi anayoyafanya, mengi yakiwa yale ambay ni mara chache sana kumuona rais akifanya. Mfano ni kama lile tukio la kutoka ikulu akiwa hana bila ya walinzi, kucheza mziki katika matamasha mbalimbali na lile la kusimamisha msafara wake kisa tu anunue karanga.
Jipya alilolifanya siku ya jana ni pale alipoamua kutumia usafiri wa Matatu au kwetu tunaita Daladala kwenda mjini. Inasemekana Rais Kenyata ndio rais wa kwanza ktumia usafiri huo akiwa madarakani, marais wote waliopita hawajawahi kuutumia wakiwa madarakani. Kikubwa kingine alichosema na kimeungwa mkono na vijana wengi ni kuruhusu Daladala kuchorwa Graffit jambo ambalo limekua likizuiliwa na uongozi nchini humo kwa mda sasa. Rais Kenyata alisema ” To be frank why are we interfering with graffiti on Matatu? Let us promote our young people – Uhuru Kenyatta ”
Tags
hongera sana Uhuru !!!!
ReplyDeleteWewe subiri al shabab wakuotee.
ReplyDeleteukiwa hunabaya hushindwi kujichanganya kama afanyavyo huyu.kaswafi Nia yake huyu namungu hamtupi mjawake atamaliza miakayake salama naatazidi kufanya mambo mazuri kwa nchi yake.ila ukiwa unamamboyako machafu huwezikusubutu kuwahivyo sababu utahisi tu sasayoyote utauliwa sabbu wewe mwenyewe nimuuaji ni shiiida.utashangaa hata hao alshaabab hawatamgusa yeye watagusa wengine msiowategemea.tuishi kwakutenda Mema tuoneane huruma heshimu waliochini kwaniwao ni binadamu wanahaki pia yakuishi vizuri tusiwakandamize iliwewe Tajiri uzidi kuishi kifalme.kesho yako huijui ulafi tupunguze tukumbuke waliochini tuwasaidie
ReplyDeletesafiii mh Rais Uhuru, wengine waige mfano wako
ReplyDeleteMy favorite african president...sexy Uhuru lol
ReplyDeleteIseee Uhuru kafanya maendeleo sana si na huku waige jamani, tuna madini, gesi etc lakini maendeleo hamna barabara mbovu kabisaaa.mungu saidia................
ReplyDeletepiga kazi kijana wa Jomo...
ReplyDeletekafanya mengi mazuri ndo maana anapendeka, penye nia pana njia natamani kuhamia huko niondoke thirdworld country.............maana ke imepanda kiuchumi na mambo yanakwenda sawasawa.
ReplyDelete