Shetta Ajitetea Baada ya Habari Kusambaa Kuwa Amekataa Kufanya Collabo na Ali Kiba

Ameingia kwenye vichwa vya habari Tanzania na hata wengine kuona kama amekosea kutoa kauli au kumdiss staa wa bongofleva Ali Kiba lakini ukweli anaousema Shetta ni kuwa maneno aliyoyasema yalipindishwa, yani kilichoripotiwa sicho alichokizungumza.
Kujua zaidi alichosema bonyeza play kwenye hii Exclusive video na AyoTV hapa chini.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mi habari bila video ama autio huwaga siziamini mana waandishi huwaga wananuukuu vibaya nikifika kwa shabiki linaongezwa na chumvi hatarii< big up shetta

    ReplyDelete
  2. Hao wasanii huwa na akili fupi huyo design hayo maneno kasema kwa ajili ya kumfurahisha Chibu. Anaweza hata akawa karopoka maskani. Ila huo sio ustaarabu yeye mwenyewe kichwa kibaya kama Chura oops Sorry mi siumbi/ Mungu, watu mbona hawa m diss mitaani wakamchora vikatuni. Jiheshimu dogo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad