Wema Sepetu Afunguka 'Walio na Mipango ya Kuzaa Hongereni... Mimi Sina ... Im Done"

Katika page yake ya instagram, super star wema sepetu aka mama ubaya amewataka wote wanaompigia kelele kuhusu kuzaa mtoto wamkome, kwani hana mpango huo kwa sasa. Hiki ndicho alicho kipost:

Okay... Lets get things straight here.... See dat doggie up there... Y'all see her....? Dat is my bebi.... since i dont have a bebi... Huyo ndo mtoto wng... Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta... Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai... Akha...!! Zaa zaa... If u have a child im happy for u... Nd wish u da best... I dont... Ndo mungu alivyonipangia... So please hey.... Watakaozaa all da best... Walio na mipango ya kuzaa hongereni... Mimi sina ... Im done... Vanilla ndo bebi wangu kipenzi na nampenda kuliko.... Na wale wa subhannah llah pia nisiwaone... This is getting too personal sasa...

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mmmmhhh.umeishiwa unatafuta kick tu huna lolote ili mradi ujadiliwe..

    ReplyDelete
    Replies
    1. hapana ikiwa unamfollow inta ujatua anamanisha nini watu wamezidi zaa zaa zaaaa ndio msemo umri unaenda aka bora wasome olewa tena ila zaa jamani!! to much!! ati ndio amewajibu ivo haikua kutafuta kiki ila wenye vyombo vya habari ndio wanasaka habari ivo

      Delete
  2. miss drama queen

    ReplyDelete
  3. mmmhhh huyu mwanamke mbona tabu hivi atakaye muoa anatabu kila kitu yeye ishu na domo lake kama kuma za walewanaweke wanaotiwa sana yaliyoregea naona na yeye yuko hivo hivo chini

    ReplyDelete
  4. Hapa ntamtetea ingawa misishabiki wake kabisaaaa.kunawatu wanapenda kuamulia watu maisha olewa,zaa umri unaenda jamani kama hujapata mume uolewe namti?zaa sasa kama hajafikia malengoyake azae vipi?maisha yasasa magumu wanaume siowakuwategemeasana katika uzazi especially ukiwa single,so ukijipanga ukiwa tayari zaa tunza mwanao utakapoona sasa niko tayari.matunzo yamtoto nihela sasa hivi ukizaa umeamua sio bahati mbaya huo ni uongo kama unaakili zako timamu.wepondaraha tu ishi utakavyo but wekeza kwenye maisha yako kutumia papuchi kunamwisho,kunawarembo wamesoma wanachipukia nawanaume wasasa mpaka aulize unafanyakazi wapi?unabiashara gani?akikuona uko vizuri basi nae atawekeza sasa we jishaue tu ndugu tunajua tunapotoka tunapoenda hatupajui.

    ReplyDelete
  5. ila binadam hatuna jema kasema mda hana muache wewe zaa yeye hata afike tisini muache watanzania bana hatubadiliki kasema unamshaur jiangalie ewe miguu imekomaa yawako umeiona anazeeka wewe umejiona angalia wewe kabla ujamsema mwenzio ustupd huo kama kakukera kaakimya

    ReplyDelete
  6. Mpuuuzi tu!!!! Kutombwa yeye kuzaa hataki, sio ibilisi huyo????? I hate that idle mind!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad