William Malecela: Jaji Warioba Anaishi kwa mlo wa CCM Kwanini Anaishambulia Serikali

Warioba ni Kiongozi wa Taifa mstaafu aliyekuwa amewahi kushika nafasi nyingi na kubwa sana za Taifa ikiwa na maana alipokuwa Makamu wa Kwanza wa Rais angeweza kushika Urais kama anything could have happened to the President. 

Kinachoshangaza na kuhuzunisha ni jinsi Warioba ambavyo amekuwa na msimamo wa kuipinga CCM na Serikali yake baada ya kuvitumikia kwa uaminifu mkubwa karibu robo tatu ya maisha yake hapa Duniani, amekuwa akililia Serikali Tatu kitu ambacho sasa kinamfanya aonekane kwamba Rasimu na Tume yake nzima walikuwa na agenda ya siri maana haiwezekani kwamba kazi yake ilikuwa kupokea mawazo ya wananchi sasa imekuwa Vita baoina yake na Serikali juu ya mawazo ambayo utafiti wote wa kisayansi unaonyesha kwamba hayakuwa mawazo ya Wananchi wote waliohojiwa kama alivyodai kwenye Rasimu. 

Wakati umefika wa Warioba kuamua aidha kujiunga na Upinzani au kuanzisha Chama chake cha Upinzani kwa sababu sijawahi kusikia Mh. Mbowe akipigwa na Wananchi kwa kuipinga Serikali ya CCM, Wananchi hawataki kuona Kiongozi yoyote wa Taifa anayeishi kwa mgongo wa CCM kuanza kuishambulia Serikali ile ile inayompa mlo. 

Wananchi wanajua kwamba Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania anapewa nyumba ya kuishi, wafanyakazi kama 5 wa kumhudumia, Nyumba ya kufikia Dodoma, 80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu na Kusafiri Ulaya mara 2 kwa Mwaka kwa matibabu yeye na mkewe na hii ni mpaka mwisho wa maisha yake hapa Duniani, sasa kwa mutu kama huyu anayepata haki zote hizi tofauti na Wanancchi wa kawaida na anazipokea bila malalamiko leo anaposimama kuipinga Serikali ile ile ndio inaamsha hisia za Wananchi zilizopelekea matatizo yalimyomkuta jana. 

Wananchi wa Tanzania wameshaonyesha kwamba hawana muda na Viongozi wanafiki wanaokula raha chini ya Serikali ya CCM halafu wanataka kuwahadaa wananchi kwa maneno mengi ya kilaghai
Source:Jamii Forums
Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pumbu sana wewe sijui lemutuz yaani iyo ccm hakuna demokrasia?mnafiki sana na mkundu wako na subiri hiyo nchi ichukuliwe na system nyingine ndo mtajua nyie mnafikiria nchi ya ukoo wenu hiyo??

    ReplyDelete
  2. William, misingi mema ya uongozi ni tunu njema katika utendaji, siasa safi na zenye tija hunufaisha wengi na hazina vigezo vya wachache, tunu njema na adilifu ni ngao njema kwa ajili ya manufaa ya wengi. Falsafa njema na maadili mema ya uongozi hupaa na kuvuka mipaka ya nani anakulisha, anakuvalisha au anakusitiri. Uongozi wa ndani ya box na fikra za umimi kwa Tanzania zinatufaa?, hazina vigezo vya mashiko kwetu sisi tunaoiangalia Tanzania kwa matumaini na kuiombea mema Tanzania.
    Hivi Mzee Warioba aingie kwenye nafasi ya kuikana dhamira safi itafutayo mema ya wengi? Dhamira ya kweli (true conscience) iwe kigezo cha siasa za Tanzania, matakwa mema (good will) yawe kipaumbele cha sera na mipango kwa ajili ya Tanzania. Tunahitaji katiba Tanzania iliyo na dhamira ya kweli, matakwa mema na idhamiriyo uadilifu na utendaji yakinifu. Hatuhitaji ushabiki wa vyama na wala sera zao katika katiba, tunahitaji misingi mema ya Kiutanzania ndani ya Tanzania na ndani ya mioyo ya kila Mtanzania.
    Vurugu ni dalili ya kushindwa katika hoja, ni msingi wa kutokujielewa. Vijana wa taifa hili tunahitaji upeo mpana na fikra njema, tunahitaji matashi mema ya nguvu ya fikra na hoja na si nguvu ya viti, chupa za maji na ngumi mkononi.
    Watetezi wa misingi ya ukweli husukumwa na kweli na huishi katika ukweli wa fikra na dhamira njema. Tunahitaji Tanzania ya kweli, yenye katiba ya ukweli na inayotetea kweli kwa Watanzania wa hali na rika zote. Mungu ibariki Tanzania...Amina.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Well said! Umeeleweka sana ndugu!

      Delete
  3. adm 1015am nakupa big up waambie hao vijana hawana hekia wala utashi katika kazi zao kazi ni ngumi mkononi hiyo sio democrsia ila uvuta bangi alafu wanasema mwakani wanataka kijana wawe rais jamani si kila atakaye mpinga kwa hoja siatapigwa viboko maana hawana uelewa mpata wakujibu hoja

    ReplyDelete
  4. Kumbuka warioba ana haki yakutoa mawazo yake yawe chanya ama hasi sasa Kama mtu ana kusaidia huwez kumkosoa Na kumwambia hapo unakosea coz anakusaidia ndo unyamaze huo unaitwa unafk Na c urafk wa kweli ccm hawana haki ya kimsing kabisa ya kumdhalilisha warioba Kama walivyomfanyia napinga vkali kwa yote waliyo mfanyia warioba

    ReplyDelete
  5. Huyu lempipoo ni kiazi,mburula ziro kabisa ndio nyie basi kwakuwa mnakula hata ukiambiwa kumanina utulie utukanwe sababu unapewa ugali na maharage.hivi ulisomaga nini wewe mavi unakera ngoja nilambe ndimu kabla cjatapika na funza waliokujaa.pumbavu zako

    ReplyDelete
  6. Huyo Jmamaa ni msenge sana sababu baba yake mzee malecela anapewa mlo na ccm ndio maana kakaa kimya basi anataka wote wake kimya? we le mutuz endelea na kazi yako ya ukuwadi kuwakuwadia wanaume kwa wadada wa mjini ukishindwa wape wewe starehe mshenzi sana wewe mtu mzima lakini fikira mbovu baba yako anaishi kwa mgongo wa ccm ndio maana ka kaa kimya nyangau wewe

    ReplyDelete
  7. wewe mbululazzz kweli mazafantaaz, Yaani kwakuwa anapewa hivyo vyote ndio aache kuongea ukweli, yea amekaa muda mrefu srikalini so anazijua siri za sirikali yake ila, umri unamtupa ameona ni bora akapata thawabu za mnyazi Mungu kwa kusema ukweli, Nyie ma CCM tunawasubiri kwa hamu sana mwaka 2015, hasira zetu zote hasa za vijana tunazidondoshea hapo, hapo ni ama zetu ama zenu hata mkikimbilia nje ya nchi tutawafuata huko huko , mazafantaaa zenyuu, bludfantaaazz,MBululazz mkubwa, Bonge na madigriii ya online ya kununua hakili iko kwenye makalioziiii

    ReplyDelete
  8. Ivyo vitu unavyoongea haki make sence,Warioba yupo sahihi,km izo haki anazolipwa ni haki yake na analipwa kupitia kodi ambazo wananchi wanalipa na sio pesa za CCM,kila mwananchi analipa kodi either kupitia mshahara (Salaries and wages) wake ama ununuzi wa bidhaa na huduma (Goods and services),ndio maana mnatufanyia ubadhirifu wa pesa zetu,wewe mwenyeo BABA ako anaendelea kusihi kwa kupitia hela za wananchi,Warioba anaielimisha jamii ya nini kinachoendelea ndani ya UTUMBO wa katiba inayotaka kupitishwa na CCM kisanii...lazima aongee wakati wanachemsha,mjibuni hoja kwa hoja kisomi na sio kuandaa mashambulizi ya n'je ya MADA....CCM CCM mnataka kujifanya kama mnaandika QUR AN bwana ambayo ndio haina shaka ndani yake....Mtakiona cha moto safari hii tumechoshwa na nyinyi...

    ReplyDelete
  9. Huna akili, elimu wala busara changia hoja siyo kutokwa na povu, nadhani siyo mtanzania wewe anonymous 6:41 pm

    ReplyDelete
  10. Fucky u wewe nafamilia yako yoteee kumamayoooo annon6:41

    ReplyDelete
  11. hahahaha usibishana nae huyo ni le mutuz mwenyewe unaona jinsi alivyokuwa hana akili? amekuwa analala na maam yake mpaka uzee ndio maaana haoi na hapati mwanamke wa kuoa.... hahahahahah LE MUTUZZZZ imekula kwako babuuu

    ReplyDelete
  12. Wewe bado kweli,akilishwa hasiseme ukwell,dah...bado uko analogue

    ReplyDelete
  13. Watu wanachojali ni maendeleo ya wananchi,hao mawaziri wastaafu hizo pesa wanazolipwa zinatokana na wananchi wala sio CCM,ila CCM ni kati ya kundi ambalo halizalishi bali linatumia bila huruma kipato kidogo cha wananchi kwa kusingizia kuwa linawatetea.Ndio maana umekimbia familia yako kwa vile ilibidi uwe unafanya kazi kuja kula marupu rupu yanayotolewa na wananchi!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad