Mwenyekiti wa PAC,Zitto Kabwe, atuhumiwa kuomba rushwa kutoka kwa mmiliki wa mtambo wa IPTL ili azime sakata hilo kupitia kamati yake.
Tuhuma hizo zimetolewa na katibu mkuu wa chama cha kijamii ambae amedai message ya Zitto kwenda kwa singasinga huyo ilinaswa.
Hata hivyo,mh.Zitto amekana tuhuma hizo na kudai kuwa maamuzi hafanyi peke yake na kwamba kashifa hiyo ni kubwa inayoweza kuangusha tembo mkubwa na hiki kinachoendelea hivi sasa kuhusu sakata hilo ni kishindo cha tembo huyo anaetaka kuanguka.
MY TAKE:
Pamoja na mapungufu ya Zitto, lakini kwa hili, sidhani kama ni kweli.
Zito atuhumiwa kuomba msaada wa kifedha kutoka iptl ili afifishe suala la escrow
6
November 08, 2014
Tags
Zitto hawezi kuwa mjinga kiasi hicho, counter attack zao za kitoto hizo.
ReplyDeleteHivi zitto ndo nani??hahaha! !
ReplyDeletezitto ni mzitto na unalijuwa hilo kamuulize baba na mama yako...
Deletelakini si wazazi wako pia he he he h e
DeleteACT wanajaribu kuionesha/kuihadaa jamii kuwa hawako pamoja na Zito.
ReplyDeletenamshangaa sana Mungu aliyemchukua mchapakazi rais Satta akamuacha huyu kilaza wetu proffesa wa kichina akitanua duniani.
ReplyDelete