Binti wa Anna Tibaijuka Acharuka Baada ya Mama Yake Prof Tibaijuka Kupigwa Chini ,Arusha Matusi Kwenye Twitter



Haya ni matusi yaliyorusshwa na mtoto wa Waziri wa zamani wa Ardhi Mama Anna Tibaijuka, maana yake ni kwamba huyu mtoto alidhani Mama yake atakuwa Waziri mpaka mwisho wa Dunia na hiki kiburi cha kuamini Mama yake atakuwa Waziri wa Milele anakitoa wapi kama sio toka kwa mzazi wake? Hawa ndio Viongozi wetu wa sasa hata watoto wao nao wamejivika kiburi cha ajabu maana hata Mama yake naye alidai akijizulu Rais atamshangaa na kwamba yeye ni jembe la Rais, huku wafanyakazi wa Ardhi wamepanga kufanya sherehe kubwa za kushangilia kuondoka kwake. 

Soma Baadhi ya Tweets Zake Alizoandika Jana:


KagemTibaijuka
This is aimed at diaspora Tanzanians who are so desperate to be part of the convo but you aren't here with us. Shut. the. fuck.up (5/7)

KagemTibaijuka
My mum did nothing wrong except wanting to help young girls get an education. A school built with my late father. Accepted a donation (2/7)

KagemTibaijuka 
But more disappointed about the women in Tanzania who are so happy to see a woman down on her luck. Don't worry your time will come.

KagemTibaijuka 
So glad I can finally say how I feel about this whole #EscrowSaga. People believe what they want to believe, I know the truth.


KagemTibaijuka

A donation that was from clean money upon which TRA taxes were paid (3/7)
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata atukane au avimbe vipi,hii ndio imetoka.
    LULULULULULULULULULULULULULUH!

    ReplyDelete
  2. ndo mitoto ya digitali hiyo, wewe unafikiri akili zimo? anataka saidia school girls? ndiyo hela ingeingia kwenye account yake binafsi? unachekesha wewe, anabahati yuko bongo, angekuwa nchi nyingine au kingikuwa kipindi cha MWL. angetaja ilikuwajekuwaje kupewa bilioni shillings bila jasho, wakati TZ wananchi wengi hali ngumu!!

    ReplyDelete
  3. Huyu mtoto anajua hiyo shule haipaswi kuwa personal property yao kweli? Babake aliijenga kwa msaada wa Wazungu na pesa za wazungu na si kwa pesa zake binafsi lakini wameifanya personal property imekuwa expensive inasomesha watoto wa matajiri ada iko juu na hata hiyo misaada sijui inakwenda wapi.

    Anyamaze tu afunge mdomo wake kwa sababu tunajua hata huko Wizarani Consultancy zilikuwa zinatolewa bila kufuata taratibu zinazotakiwa bali kiundugu na kujuana.

    Tena asizidi kutibua watu wakamtaja na dada yake aliyedepositiwa mamilioni. Tunajua ni ndugu yao Rugemalira lakini kwa nafasi aliyonayo hakupaswa kufanya alichofanya.

    ReplyDelete
  4. Pumbavu sana huyu mtoto ashukuru tanzania wananchi bado wamelala,huyo mama alitakiwa aishie jela,hela zote alizoiba bado anaishia uraiani kutanua.

    ReplyDelete
  5. Ina maana huyo Rais amemuonea mama yake? Mbona hotuba ya Rais iko wazi tena ameuliza kama mpaka hapo tulipofikia mtu anajiona hana makosa basi kuna tatizo mahali. Pesa zote hizo donation gani? Mbona huyo Ruge hakwenda kudonate kwenye shule za kata akajenga maabara? Shule ya wasichana Tanzania ni yao tu peke yao?

    ReplyDelete
  6. Wanasadikishwa kuwa wao ni bora na uongozi ni wakurisishwa.maisha hubadirika kila kukicha.baada ya hayo tujiandae kwa ufisadi mwingine,wizara zote kuna madudu kama hayo.

    ReplyDelete
  7. Maaninaaa..... zako! shame on uuuuuuu, hujui mbele wa nyuma. Tumesoma kwa shida wengine sisi na sasa hela zetu za kodi zinaingia kwenye mifuko ya mama zenu. Shule kajenga baba yako, iweje hela ya walipa kodi itumike kwenye biashara yenu binafsi. That's bullshiiiit, we're soooo tired of feeding unproductive Dogs like youuuuu. Kula Kunya Kulalaaa weeee. Na bahati yenu baba Nyerere hayupo, mngefilisiwa mpaka kandambili, na angekuwa china angenyongwa,...Consider u'reself so lucky.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Baba yake hakujenga hiyo shule kwa pesa zake shule ilijengwa na wahisani ili kuwasaidia watoto wa kimaskini. Alitafuta wahisani wakati alipokuwa Balozi huko kwenye nchi ya Scandnavia, Na huyo Mhisani mkuu ndio jina la shule limetumika.

      Delete
    2. Baba yake hakujenga hiyo shule kwa pesa zake shule ilijengwa na wahisani ili kuwasaidia watoto wa kimaskini. Alitafuta wahisani wakati alipokuwa Balozi huko kwenye nchi ya Scandnavia, Na huyo Mhisani mkuu ndio jina la shule limetumika.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad