Check Hii Video Mvua ilivyodhalilisha Uwanja wa NDEGE Dar Salaaam ...Wavuja Kinomaa

Aibu Kubwa Imetokea Katika Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar  baada ya Mvua Kubwa Anayonyesha Kuvuja Ndani ya Sehemu ambapo Abiria wa Mataifa mbali Mbali ukaguliwa Tickets zao Kabla ya kuingia Kwenye ndege, tukio hilo limeshuhudiwa na Raia mbali Mbali Kutoka nchi tofauti waliokuwa wakifanya ukaguzi waTickets zao..

Angalia Video ya Aibu Hapa:

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wale akina nanihii warudishe millioni mia moja moja tu ktk mabilioni ili zitumike kuziba hii aibu!!

    ReplyDelete
  2. Alafu haya mambo ya kuwapitisha viongozi, VIP, mimi naona hata, ilitakiwa wapite hapo washudie hiyo aibu yake mbele ya watu wa mataifa mengine wanaopita hapo na kupeleka hii aibu manake watasimulia tu, kazi kuiba mahela tu na kujenga mahekalu, hii haibu inampata kila Mtanzania,anaeshi Tanzania au anaishi NJE ya Tanzania,

    ReplyDelete
  3. Kidumu chama cha mapinduzi,naipenda sana nchi yangu yenye amani na upendo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad