Faiza Aelezea Magumu Aliyopitia Mwaka Huu,Likiwemo Swala la Ndoa Yake Kuota Mbawa

Mwigizaji wa filamu, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto mmoja aliezaa na Mh.Joseph Mbilinyi “Sugu” ameelezea ni kwajinsi gani mwakuu mabao yalivyo muendea vijabaya ikiwemo kupeperuka kwa ndoa yao, lakini sasa anajipanga kuanza vyema mwakani.

Wakati  huu mwaka unaanza, nakumbuka nilikua Mbeya mwezi January ilikua ni baada ya kumbatiza Sasha wakatti wa Christmas,wakati huo nilikua na matumaini makubwa sana pia tulikua tumepanga ndoa yetu iwe mwezi wa tano na ni kwa sababu ni siku ya kuzaliwa kwa mwenzangu!

 Lakini January hiyo hiyo mambo yakibadilika vibaya sana pia nikarudi dar na kuanza maisha mapya ! Wakati narudi na mwanangu hata sikujua nianzie wapi nifanye nini! Lakini namshukuru M.Mungu nimeweza kufanya nilivyo fanya na Nipo nilipo sasa! sababu ya kuandika haya ni kwa sababu ya kuwajuza watoto wakike kuwa tunaweza tukiamua! Binafsi sikujua itakuaje Lkn niliamua na nimeweza japo haikua rahisi ... Nimelalamika sana ,nimelia na nimefurahi pia nimeshukuru na sehemu zingine nimeonekana Kama chizi au nimerukwa na akili Lkn yote ilikua ni kwa sababu ya uchungu nilio pata kwa kipindi chote ! Sasa mwaka huu unaisha nataka niyaache yote nyuma yalipita nianze na mwaka mpya na mambo mapya! Kwa hili namuomba Mungu aniwezeshe Insha Allah niweze ku songa na nirudi kuwa yule Faiza ninae mjua mimi Insha Allah

Pia nawaombea Mungu wenzangu wote walio pata matatizo kwa namna yoyote mungu awabariki wawe na mwanzo mzuri ktk mwaka ujayo na wale walio barikiwa mungu awape baraka zaidi na Insha Allah awaepushe kwa mabaya! Mimi na mwanangu Sasha tunawatakia heri na mafanikio ktk mwaka ujao Insha Allah ! Pia marafiki zangu wote naomba mjue kwa namna Fulani mnanifanya nijisikie furaha japo kuna wengine wanakera .... Amani iwe juu yenu ... Ameen –Faiza alimaza

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo letu wanawake tunajisahau kilichokufanya ubebe mimba kabla haujaolewa ni nini?wanawake tumekuwa cheap sana mpaka tunatia aibu,yaani wewe na utu uzima wako hujui siku zako nzuri na hatari?au ndio kwa sababu uliona mheshimiwa tena,mwanaume ni mwanaume tu kumzalia mtoto sio kigezo ona sasa unavyomsumbua mtoto,vizuri umejitambua anza sasa,badilika,na tubadilike ya faiza yawe funzo kwetu sote.

    ReplyDelete
  2. malaya toka lini akaolewa?zaidi ufilwe na utupiwe uko....rudi tu china kauze punyee ni rahisi zaidi ya ndoa.

    ReplyDelete
  3. barikiwa shida ni nzuri inakufanya ujue mengi kama utajihoji ila kama hutafany hivyo utachanganyikiwa nyakati ngumu zipo kwa kila mtu na hakuna bingwa wa maisha big up bibie kwakujitambua

    ReplyDelete
  4. Kama Umeamua ku - move on, fanya hivyo kimya kimya. Huns haja ya kuutangazia umma. Halafu we Nawe Acha kulalamikamlalamika kwenye media.....amelaaniwa Yule amtagemeaye mwanadamu na kunfanya nguzo yake....
    All the best! Wish you success inyour 2015 resolutions.

    ReplyDelete
  5. huu ni ujinga kabisa why dont u have privacy for urself

    ReplyDelete
  6. na bado utasota mpaka kufa kwako wewe faiza binti ya kiislam unatembea uchi unazaa na joseph puuh!! na bado usiporudi kwa mola wako utasota na kaburini ukingia utajua kwa nini uliumbwa pumbavu sana wewe huyo baba yako kama yuko hai ataulizwa maswali mengi sana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad