Je mwanamke unataka kufahamu mbinu za kumnasa kimahaba mwanaume unayempenda

Kuna desturi inayoaminika na kujengeka katika mahusiano kwamba wanaume ni wepesi sana wa kuwasilisha hoja na dhamira zao juu ya uhitaji wao pale wanapotaka kufanya mapenzi, kuliko wanawake.(ni wanawake wachache sana wenye ujasili kama huo. 

Hata hivyo wanawake wana mbinu za kimatendo zinazoambatana na mahaba yenye hisia kali ili kuwakilisha dhamira yao kwa kile wanachokihataji katika swala la mapenzi.

Kwa utafiti nilioufanya kwa kuhojiana na wanawake, huwaga wanaumia sana na kutumia mda mwingi wa kufikiri na kuunda mikakati sitahiki kwa ajili ya kumunasa yule anayempenda hasa ambaye hajawahi kufanya naye tendo...

Embu Wajuzi Fungukeni Hapa ni Jinsi Gani Mwanamke Afanye ili Kumfahamisha na Kumnasa Kimapenzi Mvulana anayevutiwa Naye......
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad