Kumekucha Hatimae Mwigulu Nchemba Amesalimu Amri, Asema Sakata la Escrow Lawafanya Wazomewa Kila Kona

Jana Katika mkutano wa hadhara mjini Babati wakati akihutubia umati wa watu wachache waliojitokeza, mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita ndugu Musukuma ambae ameambatana naibu katibu mkuu wa CCM bara mh Mwigulu. 
Nikimnukuu.
."Hatuwezi kutembea tangu asubuhi hadi jioni tukizomewa kama watoto kwa ajili ya watu wachache, ni lazima serikali ichukuwe hatua kwa suala hili la Escrow"

Naye Mwigulu akihutubia Amesema serikali itawachukulia hatua watumishi wote watakaobainika kukiuka maadili katika halmashauri zote nchini bila kusita.

My take;
Kauli ya Ndg Musukuma mwenyekiti CCM mkoa wa Geita inaashiria kwamba wamekumbana na hali ambayo hawakutarajia na ameonyesha kumtumia ujumbe mwenyekiti wao taifa ili achukuwe hatua madhubuti kwani hali huku site sio shwari tena.


Love Quote of the Day

When a woman is talking to you, listen to what she says with her eyes.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huku Arusha ndio usiseme, wanazomewa kila kona

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad