We mwanaume mwenzangu jaribu kufikiri Mara mbili kabla ya kufanya jambo hili.
Umetumia zaidi ya mwaka mmoja kuomba mahusiano kwa mwanamke(kutongoza). Alafu baada ya kumvua nguo tu basi unakata mawasiliano apoapo hauoni ni ukatili WA kijinsia au utapeli.
Kinachonishangaza zaidi watu wenye tabia hii wanabidii kwenye kutongoza kuliko wale wanatafuta mke WA kuoa.
Ingawa inawezekana ikawa si jambo zito kwa mwanaume lakini kwa mwanamke ni majeraha makubwa moyon unayomwachia.
Unamsababishia maswali mengi kichwani kwa mfano:-
1. Labda sijui mapenzi
2. Ameniona changudoa
3.shepu yangu mbaya.
Lakini kubwa zaidi ni kwamba unasababisha ugumu kwa mwanaume atakayejitokeza kwa malengo ya kutaka kumuoa. Hataweza kutofautisha muoaji na mfunuaji.
Interview inakua ndefu na na ya mda mrefu kwa mwanaume WA kweli atakapotokea, mpaka wakati mwingine mwanaume anashindwa kwa vigezo avyopewa.
Kwakwel kama hauna malengo na mtu usimpitie na kumwacha, mnatupa shida sisi waoaji.
Karibu kwa mchango wakuu.
WEE UNAYEJIITA CYDE MANCHESTER WA MWANZA, UNASEMA WANAWAKE WANATAFUTA NINI ? ASSUME NI MAMA YAKO AU DADA YAKO AU SHANGAZI YAKO AU PENGINE NI MWANAO WA KUMZAA UTASEMA AKOME??????
ReplyDeleteacha kujitetea na point ambayo aijengi punguzeni tamaa nyoko nyie
Deletewale ma-play boy wanatuaribia sana
ReplyDeleteangekuwa mama yako au shangazi yako au dada yako utasema akome??????????????????????
ReplyDeleteTamaa zenu ndio zinawaponza wanawake. Tulieni muolewe mkiwa na bikira zenu. Mkijirahisi itaendelea Kula kwenu
ReplyDeleteMkiendelea kujirahisi shauri yenu
ReplyDeletesomo jingine lipo huku
ReplyDeletekweli inaudhi sana hata wewe ukimpenda mwanamke kwa dhatui halafu yeye hakukupenda kesho ukamkuta na mwingine utajisikiaje
ReplyDeleteIts Killing,cant Stand It,its Difficult To Detarmine The Mind Of Man,they All Seem Inocent!
ReplyDelete