Umekuwa ni utamaduni wa watu wa kasikazini hususani Wachaga kwenda mapumzikoni kila mwisho wa mwaka
Nimejaribu kufikiria ni kwanini makabila mengine hayana utamaduni huu mzuri kama wachaga?jibu sahihi bado sijapata ila nimejaribu kuhisi labda ni kwa sababu Wachaga wengi wamesoma?
Au mkoa wa Kilimanjaro upo mbali sana kiasi cha wachaga kushindwa kwenda mara kwa mara?
Lakini nimegundua hata Morogoro na Tanga sio mbali lakini Waluguru na Wasambaa hua hawaendi makwao mwisho wa mwaka so umbali na ukaribu kwangu ni vigezo vilivyokosa nguvu.
Nini siri ya Wachaga na utamaduni huu mzuri wa kwenda mapumzikoni mwisho wa mwaka?
Kwa nini makabila mengine wamekuwa wazito kutekeleza swala hili?
Mjadala upo wazi!
Inaitwa Greatings seasons ni asili ya dini ya kikristo kuacha mambo yoote na kujumuika na family zao...Ilianzia Ulaya ndio utasikia ( iam comming home) sasa asilimia 99 ya wachaga ni wakristo na wengi wao tokea zamani wana pesa walisha safiri nje wakayaona haya na imekuwa ni kama mila kwao na ni haki kwao na kila mtu.. sasa waislam wao hawana x-mas unataka waende Tanga mwisho wa mwaka kufanya nini? sio desturi yao.... x-mas ni sikukuu ya ki family ndio maana wanaenda kuungana na familia zao......
ReplyDeletehata makabila mengine wanakwenda kwao likizo ila kwakuwa hamfahamu basi mnafikiri ni wachaga tu, kwa sasa hivi hata ukitafuta tiketi za kutoka mbeya - njombe, songea - Iringa, kigoma kwenda Tabora utakuta zimejaa kwani na huko ni uchagani? lakini kwakuwa umekariri wachaga basi endelea kuamini hivyo kwani ndio uchunguzi wako umeishia hapo,
ReplyDeleteni ushirikina tuuuu, hawana lolote la maana
ReplyDeletewewe fala wewe ushirikina unaufanya wewe au. kule kikubwa tunaenda kufanya evaluation na kushauriana kwa mafanikio ya mwaka unaofuata. ukitaka kujua njoo uchagani kipindi hiki utaqona jinsi kazi ya ujenzi wa nyumba za kisasa unavyokuwa ukifanyika ndio ujue sio huo ujinga wako unaoongea. mjinga atabaki kuwa mjinga milele. ndio maana sio ajabu tukienda kwenu sasa hivi tutakuta kuna nyumba ya nyasi nakadhalika maana haupathamini kwenu. nenda pia kasome biblia hiki ni kipindi cha ndugu kukaa pamoja kula pamoja na kumtukuza Mungu huku wakitafakari namna ya kusongesha maisha.
Deletewachaga wanaenda kwao maana wanajua wataenda kulala wapi.wengine hata pa kulala hawana kilimanjaro huko chini miti na migomba ni nyumba zimejengekaaaaa chezea uchagani weyeee
DeleteWachaga ni washirikina wewe asikudanganye mtu,,,,wanavokusanyika hivyo mwisho wa mwaka wanaenda kufanya uchawi tu ila kama hujaishi uchagani utabaki kusema wanaushirikiano wa kimaendeleo kumbe si lolote zaidi ya uchawi.....mim mpaka sasa ninavo coment hapa niko moshi yaani hakufai kwa uchawi...looo!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete