Lemutuz Awapa Darasa Watanzania Waishio Nje ya Nchi Wanao Ogopa Kurudi Kuishi Tanzania

Nanukuu Kama Alivyoandikia Mwenyewe Kwenye Page ya yake ya Instagram:

'Good Morning Instagram Nation mara kwa mara huwa ninagusia mafanikio yangu madogo madogo ya Miaka 3 toka nirudi bongo nia na madhumuni yangu huwa sio bragging rights hapana......huwa ninawalenga sana ndugu zangu wengi niliowaacha Diaspora ambao wanaogopa kabisa kurudi hapa nyumbani bongo kwa kuaminishwa sana na FEAR za Super gademu mburulazzz kwamba bongo hapafai...I mean hata mimi at onetime nilikuwa na hizo FEAR ZAKUAMINISHWA NA MBURULAZZZ kwamba Bongo ni noma......please my people kama vipi unaona mbelezz hakuna mpango rudi tu ila lazima ujipange wazungu wametengeneza System yao kwa kuhakikisha kwamba mgeni hasa African ni vigumu sana kuondoka na pesa kwa sababu ya KODI so kati ya wabongo 100 ni mmoja tu anaweza kurudi na pesa so wengone 99 the best U can do ni kurudi na AKILI TOFAUTI NA ULIYOKUWA NAYO HAPA BONGO KABLA YA KWENDA MAJUU....rudi na akili people ndio utaweza hapa bongo kwa sababu utakuwa na MAAKILI MENGI SANA UTAKUWA KAMA MIMI LE MBURULAZZZ WANAPIGA PIGA KELELE.WEWE UNAPASUA KATI KATI YA UJINGA WAO U KNOW UNAVUTA PESA ILA LAZIMA URUDI NA MAAKILI MENGI SANA.....najua maisha ni popote ila ni super zaidi ukila bataz bongo na hawa wabebezz wa kibongo wasikie tu U know ni balahaa hahahah..
kabla sijaenda Majuu sikuwa na MAAKILI KAMA NILIYONAYO SASA YA KUWEZA KUANZISHA LE.TAMKOZ NA kuvuta pesa ya wadhamini huku nimelisimamisha TAIFA ZIMA kusubiri umbeya tu....inaitwa MAAKILI MENGI...JAMANI MCHANA MWEMA SANA WANDUGU!' Says Lemutuz

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe naye. Si umekimbia Marekani ili usilipe child support.

    ReplyDelete
  2. Asante kwa ushauri ila kumbuka vidole havilingani wewe umeweza basi sio wote tunaweza kikwete kaumwa kaja kutibiwa US, wewe ukiumwa utaenda South africa kutibiwa mimi na yule m Tanzania mwenzangu wa hali ya chini tutaenda muhimbili kuliko na huduma mbovu, bora kuwa mtumwa ugenini kuliko kuwa mtumwa nyumbani kwetu, wee kula bata kwa mgongo wa baba yako tuache wengine tuogope kurudi nyumbani. ASANTE KWA USHAURI WAKO.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad