Mwigizaji wa filamu,mrembo na mwenye mvuto wa kufanya wengi wapagawe, Elizabeth Michael aka Lulu ambae kwasasa yupo Mjini Bukoba kwa mapumziko mafupi. Akiwa katika viwanja vya kula bata mjini hapo Lulu hakusita kuwasifia watu wa kabira la Wahaya kwa njinsi alivyo furahia GOOD TIME alilopewa na kumfanya afunguke mwenyewe kwenye mitandao ya kijamii
“Wahaya noma......
Hili Bata la Watu wa Bukoba ni Noumer...! likizo isiishe jamani”
Haikuishiahapo, alitupia picha nyingi mtandaoni akiwa "SAMUWEA" kama unavyoziona hapo juu.
sasa hilo bata analofanya ni lipi maana hiyo sehemu Mwanza ni kawaida sana yani huyu dada kakosa market akamuibie kingkessy from wema aanze bifu na wema na yeye hana jipya maana lulu atatoka na kila mtu anaetoka na wema na yeye anataka wamlale CHEAP WHORE!
ReplyDeleteaenda kula hela za ESCROW!! cindoza wahaya hizo!!!! kwani cndohizo walizogawana wahaya!!!
ReplyDelete