Mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael“Lulu”ameyasema haya akiwa “GYM” anafanya mazoezi.
“Hii ni Kwa ndugu,jamaa,marafiki na mashabiki....!
Ningependa zaidi kupokea maoni Au ushauri juu Ya kazi zangu(filamu)nifanye nn,niongeze Nn au nipunguze nn....ushauri wa Mwili WANGU ninaomba mniachie mimi na Doctor pengine....mana tunapoelekea kuna watu mtatupangia mpaka style za kulala vitandani,hamshindwi kusema kwasababu Wewe Kioo cha jamii ukilala chali haipendezi “ Lulu alimaliza.
Wengi walimuunga mkono Lulu kwa kauli hii wakiwemo waigizaji wengine kama Batuli. Wewe je unamaoni gani?!!
maomi tunayo ila uyaweki msenge wewe usidhani wote tunampenda bibi bomba wako mffyuuuuuu
ReplyDeleteHIVI HAMNA HABARI NYINGINE KULIKO ZA HUYU MUUZA NYAPU JAMANI...mara mia ungetuwekea habari kuhusu mtu mwingine wa maana tumechoka na habari zisizokua na kichwa wala miguu
ReplyDelete