Mapenzi Moto Moto: Diamond Kula Sikukuu ya Mwaka Mpya Rwanda na Mpenzi Wake Mpya



Mambo yazidi Kuwa Mazuri Upande wa Diamond na Zari kwani Mapenzi yao ni Moto Moto , Kwa sasa wanafuatana kama Kumbi kumbi kila Diamond anapofanya Show za nje lazima Mtoto Zari Awe Pembeni , Baada ya Kuwasha moto Juzi Huko Rwanda akiwa na Zari Sasa ni zamu ya Rwanda , Diamond Ameweka Picha Akiwa na Zari na Kuandika Haya hapa Chini:                                                      "Jus touched down Rwanda...Damn! i can not wait to spend my New year's eve here!"
Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tunakuombea sana maana ni KIPOFU-HUONI,KIZIWI-HUSIKII.

    ReplyDelete
  2. Mungu mwenyewe tu akulinde kjiana unaependa kuwatia wadada walowahi kutiwa na wenzako kama mia enzi hizoo wakiwa bado wachanga wewe ndo wakurudiaga walipowahi kupita master wenzio,,,,,manina zako ,,,,

    ReplyDelete
  3. Actually Diamond you are doing well in the side of music but in the side of love you are always wrong...........you just pray to God he'll give you the right woman in your life.

    ReplyDelete
    Replies
    1. who is the right woman!!!!!!!

      Delete
  4. Diamond anajaribu kulipiza mambo yote ya mapenzi aliyokosa utotoni kwa kuyafanya leo. Tangu nimjue Diamond mwaka 2010 baada ya kampeni za uchaguzi alipopewa Shs 20m akajifungia ndani kupanga namna ya kuzitumia mpaka leo hii anapomiliki zaidi ya bilinoni moja huko benki sijamwona akitoka na mwanamke wa maana zaidi ya Jokate na Penny, kila mara anatafuta mwanamke mrembo sana star aambaye ameshatumiwa sana na wanaume wengine. Zari mama wa watoto watatu wakubwa ambaye ana umri wa miaka 9 zaidi ya Diamond akiwa ameolewa umri wa miaka 19 tu, na ambaye kipindi hicho cha ndoa amewahi kuwa na wanaume wa nje zaidi ya 18 siyo saizi ya Diamond kutambia mitandaoni leo, lakini ndiyo hivyo: Mungu hakupi kila kila kitu, akikupa kipaji cha kuimba na kuvuta wapenzi basi huenda anakunyima pia kipaji cha kutambua mambo mengine katika maisha. Kila wakati ninadhani kuwa Diamond alitwakiwa atulie na Jokate.

    ReplyDelete
    Replies
    1. asee hapo juu ndugu umeabdika!!!! ur very smart Diamond anazingua ktika mapenz hayupo real, itamsumbua umri unasogea huo

      Delete
  5. who is the right woman!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. Mbona huyo mwanamke aliyepiga nae picha hapo sio Zari? yaani safari moja huanzisha nyingine, huko Burundi na Rwanda Diamond angeenda peke yake huyo Zari angemtupilia kule kuna wanawake wazuri kushinda huyo Zari tena wadogoo ndio maana ABIRIA kaenda kuchunga mzigo wake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. HUYO NI ZARI KABISA!!! POLE KAMA UMESHINDWA KUMTAMBUA

      Delete
  7. Huyo sio Zari mcheki nywele, Zari havai weaving za human hairs na dental formula yake haiko perfect kama ya huyo mwanamke, wanachofanana labda hiyo rangi tu. Kisha cheki mikono yake sio minene kama ya Zari. Kingine Zari huwa hasmile kivile kwa sababu ya meno yake mabaya yametokeza nje. Diamond huyo nae kaja kupiga picha na wewe kwenye ndege utafanya nae Project na yeye?

    ReplyDelete
  8. Baada ya mlololongo wa kulala pamoja mfululilzo, Nov 6-12, Nov 27-30, Dec 17-23 na sasa Dec 27-Jan 1; nadhani sasa Diamond wetu ana uhakika wa kupata mtoto kwani Zari ana rutuba ya kutosha na wala hawezi kutoa mimba kwani haogopi kuzaa; sasa tusubiri matunda.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau umenena.matunda yakuparamia matunda usioyaona..ukaoma mti umenawili ukaurukia ukafikiria utatoka na tunda moja kumbe unatoka na utoko!!!!!mpyuuuuu mtoto mchafu hasa kwenda kuwa na mwanamke kama zari..mwenzio kashajifia anatafuta wakufa nae!!!

      Delete
  9. Habari mpya mjini ni kuwa Zari tayari ana mimba ya Diamond ya miezi miwili sasa. Penny aliyedai kuwa Diamond hawezi kumpa mwanamke ujauzito ajitokeze sasa akanushe maneno yake. Mimba ya Zari ndiyo iliyosababisha mama huyo aache shughuli zake nyumbani amfuate Diamond huko ziarani kwake ambako anategemewa kwenda naye kote kuanzia Burundi, Rwanda, halafu watapitia kwao Zari huko Jinja Uganda kabla ya wote hawajarudi tena Dar es Salaama wakiwa njiani kwenda Lagos Nigeria. Zari hafikirri kurudi South Afrika tena, ila anataka awe mke kamili wa Diamond hapa hapa Dar es Salaam.Habari kamili ya mimba ya Zari kutoka kwa Diamond inapatikana hapa http://xclusive.co.ug/2014/12/30/blockbuster-worried-zari-reportedly-expecting-er-sixth-child-missing-monthly-periods/#.VKMsF3u1diY

    ReplyDelete
  10. bichwa kubwa ubongo wa mende diamond.

    ReplyDelete
  11. hata mimi ningekua staa ningewapiga tuu, wagonge tuu diamond ndo wakati wako halafu watoto wote uliopiga ni wakali

    ReplyDelete
  12. DIAMOND IPE ROHO YAKO KITU INAPENDA HAO WANAONGEA TU NA MAWIVU YAO. JE WAO WANA HAKIKA WAKE ZAO AU WAPENZI WAO WAMETOKA NA WANAUME WANGAPI???
    USIMWACHE ZARI DIAMOND !!!! WENGINE WAPENZI WAO WAMETOA MIMBA KIBAO BORA YA ZARI AMEZAAA!!! USIYUMBISHWE NA MANENO YA WATU FOLLOW YOUR HEART!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad