Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha kutovaa chochote.
Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia.
“Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa,” alisema Jokate kwa kifupi
'Najisikia Raha Kukaa Uchi Niwapo na Mpenzi Wangu'….Jokate
1
December 05, 2014
Tags
Jokate unajishushia heshima uliyojijengea miaka mingi, maneno gani hayo unayosema kwenye media? kila mtu akitaka kusema mambo yake ya chumbani si itakuwa taabu. Nakushauri uendelee kujiheshimu maana wewe ni binti mrembo, usijishushie heshima yako tafadhali.
ReplyDelete