WAZIRI wa maliasili na utalii na mbunge wa jimbo la Singida kaskazini(CCM) ,Lazaro Samwel Nyalandu,ametangaza rasmi nia ya kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani.
Nyalandu ametangaza nia hiyo leo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Ilongero Jimbo la Singida kaskazini.
Alisema baada ya kutafakari kwa muda mrefu na kujikagua kwa kina,ameona anao uwezo wa kutosha wa kuweza kupokea kijiti kutoka kwa rais anayemaliza muda wake mwakani kwa mujibu wa katiba.
JE UNAMKUBALI?
SIJAKUBALI.
ReplyDeleteakawe raisi wa kuuza wanyamapori
ReplyDeletehawa jamaa wanafikiri uraisi ni kiongozi wa mtaa au kiongozi wa kata, ndiyo maana wanajitangaza ovyo ovyo, wameshaona hii nchi ni kama jahazi tuuuuu, huyu bwana ajajitathmini kabisaaaa, kwanza hana hata aibu!!!
ReplyDeletekwa herufi kubwaaa kabisaa "HAFAI"
ReplyDeleteAtatumaliza kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Deletehahahaa!!!! huyu akiwa Raisi Tanzania tumeishiwa, tumeshindwa kumchagua yupi ili awe msimamiaji wa nchi, lazima tuchague kiongozi anaejua nini? maana ya uongozi, wengine wanadhani uingozi ndio umepewa nchi, basi atafanya vile anavyotaka, Hiyo sura yenyewe inajieleza, wala si kiongozi wa maana huyu, kiongozi pia ni kipaji sio Elimu tu,
ReplyDeleteHahahahahahaha,si bora tumpe Ridhiwani kama akiamua kutangaza nia?
ReplyDeleteBig NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
ReplyDeleteuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteNOOOO!!!!! not you baba, weee pita zako tu
ReplyDelete