Mtu Mmoja Raia wa Sierra Leone Ambaye jina lake halikupatikana kwa haraka amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kadhaa na Askari Magereza wa Mahakama ya Kisutu , Inasemekana mtu huyo alikuwa ni mahabusu ambae alikuwa amefikishwa mahakamani hapo kwa kosa la Kukamatwa na Madawa ya Kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya shilingi Mil 61 , Muda tu baada ya kufikishwa mahakamani hapo aliwatoroka Askari waliomsindikiza chooni kujisaidia na kuparamia fensi ya mahakamani ili kukimbia lakini kwa bahati mbaya askari waliona mchezo mzima na kummiminia Risasi zilizosababisha mauti yake.
~udakuspecially.com
shida
ReplyDelete