Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi ? Asema Haoni Kosa Kutafuta Mchango wa Shule


Amesema haoni kosa kutafuta mchango wa shule. 
Yeye alipokea fedha toka kwa Ruge ambaye na kodi alilipa amehoji kama ni fedha haramu inakuwaje TRA wamechukua mpaka kodi yake zaidi ya billion 30. 

Anasubiri mamlaka ya uteuzi ipime na kuamua. Haoni haja ya kujiuzulu. 
Amesema hayo akihojiwa na BBC

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jiuzulu mama, umepokea hela haramu!!

    ReplyDelete
  2. Kuna kila sababu ya kujiuzuru,hii siyo vagine kesi yako,hebu angalia scandal ya viwanja.Bado watu wanafikiria mama km wewe umechukua viwanja vingi bila hata aibu,Mbunge wa kawe alielezea kwa undani na kila mtu ameelewa.Try to bow ur face km mwanamke,Kuna issue ya Bombo Hospital in Tanga,iliripotiwa kuwa manesi wanavaa mifuko ya plastic km gloves kwa kuzalisha.Imenigusa sana tena sana kwani hiyo hosp naijua vizuri sana tena sana,Mama yangu alifanya kazi hapo miaka yote na amestaafu hapo,
    Mimi nawaomba rudisheni hizo pesa zisaidie hosp na sehemu nyingine.Kweli ni aibu kubwa kwa nchi masikini km TZ yenye shida nyingi vijijini. CCM bado mna testi na watu lakini kila mara mnajaribu kuwapa watu testi less.Mnafanya wananchi wapeleke hamu yao sehemu nyingine.
    Hivi mtaomba misaada kweli nchi za nje?na wakati viongozi wanabeba pesa kwa manufaa yao binafsi! sijawaelewa hata kidogo.Km ulijenga shule kwa pesa zisizo za halali bora uzirudishe kwani hakuna mtu atakupa happy face.

    MIMI NINAWAZO BINAFSI KWA MHESHIMIWA,PLEASE RUDISHA ILE MIIKO YA UONGOZI,KWANI SASA ISSUE MBAYA ZA VIONGOZI ZIMEFIKA KWENYE ROOF.
    sorry km nitamuthi mtu,MUNGU IBARIKI TZ.thans

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad