Mapenzi urafiki wa Idris Sultan na mrembo wa Afrika Kusini aliyekuwa swahiba wake wa karibu kwenye shindano la Big Brother Africa, Samantha, umefika kwenye hatua ya juu zaidi.
Samantha ambaye bado yupo nchini amepokelewa kwa mikono miwili na familia ya Idris.
“They’ve only been good to me and I can’t say thank you enough. How people can love you this much but only no you a few weeks is beyond me,” ameandika Samantha kwenye picha akiwa na familia ya Idris.
“God bless your beautiful hearts . Thank you ! Thank you ! Thank you.”
Samantha Apokelewa Kwa Mikono Miwili na Familia ya Idris Mshindi wa Big Brother
2
December 29, 2014
Tags
Wifi wa kujileta mwenyewe wa kazi gani?
ReplyDeleteumbea tu,domo kubwa kama chupi la pawa
ReplyDelete