Hii ni zaidi ya mwaga mboga nimwage ugali....Team Wema imeamua sio tu kumwaga ugali ila kutoboa sufuria na kuzima mato ili pasipikwe kabisa,
Mashabiki wa Wema Sepetu wameamua kuvaa miwani za mbao na kumfanyia udalali wa mapenzi boss wao kwa aliekuwa mme wa le project Zari the bosslady bwana Ivan, amsha amsha hizo zimeanza punde tu baada ya wema mwenyewe kuanza kumfollow Ivan.
maskini baba wa watu hadi kishapachikwa jina eti aitwa Ivanwema (ila madam mbona siku zote hukumfollow jamaa why sahivi?...mi nawaza tu)Wema ndo amekuwa wa kufanyiwa udalali hivi kama kiwanja cha bondeni duh! ndo njia ya kumfariji hiyo? huku ni kuaibishana tu na hizi teamushuzzz!!!Haya tunangoja project ya Ivan na Madam....!!!!
Soma Hapa:
Teamwema Wampiga Debe Boss Wao Kwa Ex Husband wa Zari the Bosslady
3
December 05, 2014
Tags
loh inatia kinyaaa hawa watoto wadogo wenye smartphone watia kinyaa walai mi nahisi wanapaswa kukemewa haswa wanatuabisha toka apo kenya n uganda wanatuona watz bongo lala kwa hili walofanya hawa watu kweli ilo jina linatufaa sana naona aibuuu kwa kweli aibu haswaa nazani baada ya hili sakata wema anahitaji break kwenywe social network mana hatari kaka meneja pls baada ya kumaliza mambo yako na swahilli fashion week pls ongea nao hao mbururaz wanazani wanamtetea wema kumbe wanamuabisha bana, fan wa kweli wa wema ni wachache sana die hard fan ni kama wemadaily na kaayyxxo hawanaga mambo ya kutukana kazi ni moja show lv kwa wema tu... tumewachoka team team jamani tufanyeni mambo ya maendeleo basi alaah
ReplyDeleteSWhameless women and stupid teams. Aisee nampenda wema hadi naumwa lakini hawa watu wamaojifanya spokespersons ni nuksi
ReplyDeletewema kama unafuata ushauri wao utakuwa mjinga saana!!!!
ReplyDelete