Ukistaajabu ya Wema na Diamond, Utayaona ya Chriss Brown na Karrueche

Aiseee nimepitia mitandao kadhaa pamoja na page ya bwana mkubwa Chriss Brown aisee ni sheeda, kamchana huyu bi dada karrueche, naskia kagonoka na Drake. Pitia clip hii Youtube juzi ijumaa kwenye show yake akatangaza yu Single na kumporomoshea mitusi bi shost loh!

Kweli ukistaajabu ya project utayaona ya Zari Ze Boss Lady!

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hatushangai ya Zari t
    Tunashangaa Umri Na watoto alionao aviendani Na matendo abayofanya,36 years!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad