Picha Hii Imesambaa mitandaoni ikisemekana ni maeneo ya Buguruni ..Vijana wakifanya yao baada ya dada mmoja kuvaa kisketi kifupi na kukatiza nacho mitaani..
Jamani hii tabia ya kuwavua nguo dada zetu sio nzuri hata kidogo jamani kwa nini watu tumegeuka wanyama??