Wema Sepetu. Aongea Kuhusu Mapenzi ya Diamond na Zari 'Such a Good Couple. Wivu wa nini, I Wish Him all the Best and Ammmm'

U Heard ya jana December 29 iko hapa, Gossip Cop alihudhuria shughuli ya kutambulisha msanii mpya ambaye atakuwa kwenye Management ya Endless Fame iliyofanyika Tegeta Dar siku ya jana December 28, akapata nafasi ya kuzungumza na Wema na jinsi anavyojisikia kuhusu uhusiano wa Diamond na Zari.
Wema alisema anachukulia fresh, hana tatizo lolote na yoyote kati ya wawili hao kwa sasa ameendelea na mambo yake.
“... Aisee nawapenda… such a good couple. Wivu wa nini, I wish him all the best and ammmm… I wish him happiness …” Wema Sepetu.
Kwa bahati mbaya wakati wakijiandaa kutoka ukumbini hapo baada ya mahojiano hayo Wema alipata jeraha baada ya kubanwa kidole na mlango wa gari.
Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata kama anaumia rohoni hawez kuwambia coz wema anajielewa,,,,,kuumia ni lazima coz every body knows how mapenzi yanauma

    ReplyDelete
  2. lol ati wen he went out of picture tafsiri yake nini!!!!!! hahahaha soud bwana

    ReplyDelete
  3. Inamuuma,maana alisema wanapendana mpaka wanapitiliza,na zile ndoto za harusi yao kufanyika uwanja wa taifa kwishaaaaaaaaaaaaaaa.Mapenzi bwanaaaa!inabidi umsome sana mwenzio kabla ya kuropoka.Utakuwa umejifunza kitu bi dada.

    ReplyDelete
  4. Domo anamkomesha wema au meninah?

    ReplyDelete
  5. Listeeeen Wema Isaac Sepetu, we love uuuuuuu.......Unatakiwa kubadilika kiakili, fikra na kimtazamo. First of all acha kuishi maisha ya kitoto toto. Be a real woman, speak and do present u'self as a mature person...Stop babying men, stop kudekadeka, stop kujiweka weka uchi sana.. wewe mzuri bwana hata ulivaa bazee. Make habit ya kuappear on media only for something reasonable, sio mara umepigana, mara umetukanana mambo gani hayo sasa..... Maisha ya kujirusha should be for business only, let say kama hapo unatambulisha artists period. Mwisho Acha kutoka na watoto wadogo, vivulana vidogo bado vinamoto mwingiiiii, usitoke na superstars, musicians nooooo......get someone like a Gladiator in a suit.
    Good example Faraja Kotta...I adore her, super decent and beautiful. Pia usiwe goal digger kama "J.....Lini????" (Mama shikamoo helaa).

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEE NAWE MAWIVU YAKO TU!!! AU ULITAKA UWE WEWE? NAWE TAFUTA SHIMAMOO HELAA. WIVU TU UMEKUZIDI

      Delete
  6. Dear Wema kuwa mwangalifu na huko kujibana kidole ni utambulisho mbaya!!!!!!!!ooops hata hivyo sidhani kama umehumia, diamond sio mtu kama unavyofikiria hes only fater something as everyone.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Domo hela za ukubwani in shida Tupu tutamkoma watatombwa wasichana mpaka wako me.

      Delete
    2. Zari Uganda anaitwa UN sumit. Wifi yetu katisha na mistu wake

      Delete
    3. Si amino sinta anamchukia wema hivyo kisa mwanaume!!!!!!! Ambaye fuska wa mwaka dah nag hola

      Delete
    4. Mimi nilishapenda nisipopendwa.navyoona hii couple wananitonesha kidonda

      Delete
  7. diamond alishakupanda ila atakula alichopanda...pumbavu sana yule mtoto wa tandale anajiona mkubwa na kuna wakubwa zidi yake..........alitaka wema uwe choka mbaya..au chokoraa si ndio... after all your da one.

    ReplyDelete
  8. anonymous 7:54 umemaliza kila kitu ushauri wako ni 100%.labda kwa kuongezea tu wadada mjifunze kwa yaliyowakuta wapenzi wote wa domo,kashfa alizotoa juzi kati,

    ReplyDelete
  9. Wema hatokua once mjinga always mjinga, mwezi ujayo utamwona amerudiana na ndomo.

    ReplyDelete
  10. Sinta unawezaje kumchukia Tanzania mwenzako hata hufichi mungu atakuja kukuumbua live.na vikao vya harusi vya menina vimeishia wapi?

    ReplyDelete
  11. Wema naomba urudi gm mwili unaboa lol

    ReplyDelete
  12. Sisi wanawake tuna maana basi? Ni shideeer!!!

    ReplyDelete
  13. wema ukirudiana na domo utakuwa mwanamke mjinga tanzania nzima!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad