Kweli kabisa mdau wa kwanza,nyimbo kama hiyo ni kama ya mtu anaetaka kutoka bongo flava,kiba rudi kwenye nyimbo za mapenzi zenye mionjo ya kiafrica ,bongo flava ndani yake.
Ukweli nyimbo yake inarudia makosa yale yale ya waimbaji wengine inamfumo wa kizulu zulu ukitaka kuwa wa kimataifa ni lazima ubadike sielewi vipi hapa Tz wanavyo tayarisha musiki yao lakini wezetu wanafatilia mpaka milio ya ndege na wanya wengine ili kuhakikisha kinachotegenezwa kinakuwa ni kibao cha wakati wake lakini haya mambo ya kizulu zulu na kizaire
Kawaida sana, huwezi kwenda international kwa nyimbo za namna hii
ReplyDeleteKweli kabisa mdau wa kwanza,nyimbo kama hiyo ni kama ya mtu anaetaka kutoka bongo flava,kiba rudi kwenye nyimbo za mapenzi zenye mionjo ya kiafrica ,bongo flava ndani yake.
ReplyDeletehamna kitu bado sana utaendelea kula madafu tu hapa bongo!
ReplyDeleteWimbo mzuri sana una maudhui mazuri yenye kueleweka, big up Ali Kiba
ReplyDeleteUkweli nyimbo yake inarudia makosa yale yale ya waimbaji wengine inamfumo wa kizulu zulu ukitaka kuwa wa kimataifa ni lazima ubadike sielewi vipi hapa Tz wanavyo tayarisha musiki yao lakini wezetu wanafatilia mpaka milio ya ndege na wanya wengine ili kuhakikisha kinachotegenezwa kinakuwa ni kibao cha wakati wake lakini haya mambo ya kizulu zulu na kizaire
ReplyDelete