Zari Amwambia Wema Sepetu Atulie Diamond Sio Mume wala Mchumba wa Mtu


Zari Ameibuka na kumwambia Wema Sepetu kuwa Diamond Sio Mume wa mtu na wala sio mchumba wa mtu kwa sasa hivyo kitendo cha yeye kutoka out naye ni sawa kwani ni maamuzi ya Diamond Mwenyewe kwa vile kwa sasa yupo huru kabisa..Hivyo Wema Sepetu na Team yake wakae Kimya Waangalie tu jinsi Project inavyokwenda kwani muda wake wa kujivinjari na Diamond ulishapita....
Mweee.. Ndimu zikuwapi 

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwan mlimskia Wema akisema chochote? hamna cha Zari wala nani Nyie ndo hamna la kuandika kumhusu Wema na mnaulazima mmuandike Si muachane na huyo mtoto wa watu jameni.

    ReplyDelete
  2. Hamna jipya bola tu mumuandike Wema ndo kazi yenu iwe Kazi nkt

    ReplyDelete
  3. keep it up zari na diamond mnapendezajeee!!!

    ReplyDelete
  4. wana wivu haoooooooo!!!! Zali na diamond msiwasikilize!!!

    ReplyDelete
  5. daimond na zari wanaendana wote wanamkwanja wema anapendaa kuongwa kama mademu wengine ana jipya ndio maana watu wanamchapa ovyo na kufilwa tuu kama vipi daimond zaa na zari kabis au amia uko uko ili wema asiwe karibu na wewe mtu mwenyewe ngozi ,tako kila kitu cha techno (mchina) achana naye afu mademu wanatumia mkorogo wanajasho kali kama anazalisha chemical ya kutengenezea dawa mwilini.....toka uanze kuwa na mademu apo daimond ndio kwenyewe umeendana siyo mburura za bongo hizi kazi kuchuna awajui kutafuta

    ReplyDelete
  6. Shauri zenu!Hata hayanihusu.

    ReplyDelete
  7. Shauri zenu!Hata hayanihusu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad