Aunty Ezekiel |
Kitendo hiki kiliwafanya baadhi ya watu wenye imani tofauti na ukristu kuibuka na kuanza kumshambulia kwa maneno ambayo yalikuwa ya kiponda imani yake na huku baadhi ya watu nao wakijibu mapigo kwa kujibishana, kitu ambacho kilisababisha malumbano ambayo Aunt Ezekiel hakufurahishwa nayo na hivyo akaweka bandiko jipya ambalo lilisomeka kama ifuatavyo;
"Dini ni Imani ya Mtu toka Moyoni mwake plz Ukijua dini yako inatosha usilazimishe kujua na yawenzako Naheshimu na Kuamini Dini zote mbili usitake kujua zaidi Alhamdulilaah kwa yote Muwe na jumapili Njema dah!"
Jamani tukubali kila mtu na imani yake, hata kama hauipendi ya mwenzako, mheshumu basi.
Yaap! When Jesus say yes no body can say no.
ReplyDeleteHata mimi sipendi mabishano ya kidini kabisa.
ReplyDeletewengine sisi ni waislam lakini tumepona magonjwa sugu kwa yesu huyohuyo.
KENGEZA NI LANGU JICHO LAKO HALINISAIIDI!!! imani ni ya mtu sio kulazimishana au kusema ya mwezio mbaya yako nzuri na mwenzio naye anasema yako mbaya yake nzuri . JAMANI MAMBO YA IMANI TUAYAACHE KILA MTU NA IMANI YAKE. PILIPILI IKO SHAMBA WEWE WAKERWA NA NINI JAMANI????
ReplyDelete