Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kueleza sababu za kutodumu na wanaume kimapenzi kwamba ni kutokana na kuota anafanya mapenzi kila siku.
Awali rafiki wa Madaha aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema kuwa, mara kwa mara msanii huyo amekuwa akilalamika kuwa kila siku anaota akifanya mapenzi hali inayomfanya asiwe na hamu ya kuwa na mpenzi.
“Mwenyewe anasema ni hali inayomtesa sana, asubuhi akiamka anakuwa amechoka na muda mwingi anakuwa hana hamu ya kuwa na mpenzi,” kilidai chanzo hicho.
Baada ya kupata ‘tipu’ hiyo, mwandishi wetu alimtafuta Baby Madaha, alipopatikana alisema: “Ni kweli ndoto za kimapenzi zinanitesa sana na huwezi amini nimekuwa nikiota nafanya mapenzi na mwanaume mwenye sura ya Ronaldo (Mwanasoka wa kimataifa anayechezea Timu ya Real Madrid).
Baby Madaha: Ndoto za Mapenzi Zinanitesa Sana Kila Siku Naota Nafanya Mapenzi na Mwanaume Mwenye Sura ya Ronaldo
4
January 30, 2015
Tags
Mienilikuwa naota nafanya mapenzi na raisi wa US....upo wewe wacha Ronaldo kitu gani.....heeeeeeeeeeeeeeeeee makubwa
ReplyDeletemmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
DeleteMbona MMMMMMMM nyingi hivyo ama umeshanga mie kuota nafanya mapenzi na BIG MAN.....sasa wewe george kwani huoni wenziwe wanavyoota kwani......haya ndugu kazi kwako....je wewe hujaota..
DeleteMuombe mungu sana coz mm ni mkristo na watumishi wa mungu wanasema kuota ndoto ukifanya mapenzi ni mbaya kuna uwezekano wa kuwa huwa unafanya mapenzi na mapepo yaani jini mahaba, poole babby
ReplyDelete