Barabara mpya ya Msata-Bagamoyo inasambaratika hata kabla ya ufunguzi
2Udaku SpecialJanuary 06, 2015
Kwa mtu yeyote aliyepita barabara hii hivi karibuni, hawezi kuacha kushangaa kwa kusambaratika au kuchanika kwa hii barabara ambayo wala haijamalizika kujengwa.
nimeona kukatika huku kwa lami takriban karibu kilometa 20 au 25 hivi.
Wewe unategemea barabara inajengwa na mchina anayejali gharama nafuu zaidi kuliko ubora itadumu???
ReplyDeleteSwala siyo mchina,je serikali itachukua atua gani kwa matokeo hayo ya Barabara?
ReplyDelete