Beef la Mtandaoni Kati ya Lemutuz na Mwanasheria Alberto Msando Lashika Kasi, Kisa Kopo la Coca Cola

Jamani chupa za Coca Cola zasabisha tofauti kati ya Super staa Lemutuz na Mwanasheria Maarufu Alberto Msando, Juzi na Jana tulishuhudia Coca Cola wakijitangaza kwa kuwapa wasanii na watu maarufu makopo ya Coca cola yaliyoandikwa majina yao..

Ilianza Hivi :
Mwanasheria aliandika haya baada ya kuona chupa zinatolewa bure

"Hizi share coke picha ziko nyingi sana. Siamini kwamba ni zawadi tu. Zawadi ya kopo moja? Sawa inaweza kuwa ni kutambua nafasi za watu fulani lakini ukweli ni kwamba hii ni promotion ya bure. Ni UNYONYAJI. Kwa sababu hamlipi kwa picha mnazowapiga. Ni aina ya wizi ule ule tunaopigia kelele kwa upande wa wasanii. Na ni marufuku kwa wasanii ambao nawawakilisha kupiga picha unless wamelipia LIKES. Wasanii lazima mkomae. Huu upendo wa mshumaa kuungua wakati unamulikia wengine ni wa kiboya"

Sasa kuna watu wenye mtindio wa ubongo ambao sababu za kibaiolojia zimesababisha kutokukua kwa hiyo wanatetea unyonyaji. Sipendi kubishana na baba yangu au mtu wa rika lake. Na umri wa kudanganya ni chini ya miaka 21 sasa una miaka 56 unadanganya IG eti umelipwa kupiga picha?? Tutawaelimisha wasanii wadai na wapate HAKI ZAO. Imetosha. Na wale wanaosaidia unyonyaji wa Haki za wasanii hatuwaonei aibu. We jidai eti "staa sijui nyota" wenzako ni "reli" na wengine ni "jua" #OldBigBaby "  Says Alberto Msando

Lemutuz nae kwa Kuelewa ni yeye akaangusha bomu kwa alberto kama ifuatavyo:

"Ndio matatizo ya kuja mjini mtumzima unaanza kuamini na kusema IG kwamba kuna baba wa mtu hapa mjini anamiliki Nyumba za magorofa ya NHC....hahaha mimi nilizaliwa Ocean Road you Super gademu mburulazzz eti wewe ulizaliwa wapi?......kuletwa mjini na Zitto ndio ndio inekuwa taabu kaka hahahah....tulianza Uhusiano na Cocacola siku nyingi kabla ya Le Kopoz hiyo picha ni miezi miwili iliyopita siku tulipokubaliana a deal ya kuwasainisha Viongozi na Cocacola na hiyo headphone na Radio yake ilikuwa ni part of the deal umekosa kupewa sio kosa langu hahahaha wakasirikie Cocacola hahahaha.....eti Sheria ulisoma wapi mkuu maana waliosoma Sheria kina Lau Masha tunawajua hapa mjini loongtime wewe ulikuja lini mjini hahahaha...wacha kutisha na kudanganya watu kuhusu kupata kwao makopoz waelemishe what they can do kwenda mbele na the new fame ya kuwa na kopo lenye jina lako tena la Cocacola sikufahamu ila kwa huu upuuzi ninaoambiwa unauandika ninajiuliza kama kweli umesoma Sheria kama kina Lau Masha na Margai maana wao wamejikita zaidi kwenye kuelimisha wananchi sio kuwaogopesha na kuwatishaa na kuwatukana wanachi wasiowajua kama wewe......now ninaelewa kwamba kusoma shule sio kuelimika ila karibu sana hapa mjini na karibu sana Mliman City leo wale wote tuliopata makopo tumealikwa.najua hujaalikwa so una hasira pole sana hahahahahah mimi ndio Le Mutuz Nation I stand alone sihitaji misaada ya matusi toka kwa madebe matupu eti Mwanasheria wa UKAWA haahahaha U know! "- le Mutuz




Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Du. Gademu Le mutz

    ReplyDelete
  2. Kuheshimiana kuna leta amani na upendo katika jamii na nchi ,na taifa ,vita kubwa katika nchi za afrika ni rushwa,na madawa ,uvivu,na kuto wajibika hayo ndio matatizo ya nchi zetu.
    Vijana shikamaneni hata kama kunatofauti za mtazamo,upeo,mazingira,au imani ,shikamaneni , dunia ya sasa sio majungu,ni kusonga mbele kumkomboa hata yule ambae hapati hizi taarifa kama vile wewe na mimi,na kusimamia utajiri Mungu alio tupa na hali ya hewa nzuri sana ,aliyo tupa Mungu katika nchi yetu,tupendane ,.
    Haya mambo ya marumbano yasipo angaliwa katika nchi yetu yata zaa ,makundi ya chuki,na madhara makubwa ambayo hatukutegemea tuwe makini sana,tusisubiri haya yatokee ,upendo ,na amani tuvilinde,.

    ReplyDelete
  3. Kuheshimiana kuna leta amani na upendo katika jamii na nchi ,na taifa ,vita kubwa katika nchi za afrika ni rushwa,na madawa ,uvivu,na kuto wajibika hayo ndio matatizo ya nchi zetu.
    Vijana shikamaneni hata kama kunatofauti za mtazamo,upeo,mazingira,au imani ,shikamaneni , dunia ya sasa sio majungu,ni kusonga mbele kumkomboa hata yule ambae hapati hizi taarifa kama vile wewe na mimi,na kusimamia utajiri Mungu alio tupa na hali ya hewa nzuri sana ,aliyo tupa Mungu katika nchi yetu,tupendane ,.
    Haya mambo ya marumbano yasipo angaliwa katika nchi yetu yata zaa ,makundi ya chuki,na madhara makubwa ambayo hatukutegemea tuwe makini sana,tusisubiri haya yatokee ,upendo ,na amani tuvilinde,.

    ReplyDelete
  4. Mpeni muda kidogo mtaona huyu mtu ataishia pabaya huyu anyejiita Lemutuz. Ni arrogant kupita maelezo kama tu ilivyokuwa kawaida kwa watoto wa vigogo miaka ile ye tisini. Lugha za matusi kwake ni kawaida. Yeye karidu juzi toka ughaibuni hajaacha majigambo. Mpeni muda kidogo .....Kuzaliwa mjini au kijijini hakuna tofauti kwa mtoto yeyote maana hajitambui mpaka wazazi wake wamwabie alipozaliwa. Suala ni mtu amekulia wapi ndo linalompa personality ya sasa. . Huyu bonge la falaa yaani.....

    ReplyDelete
  5. Fala Sana sio kidogo hana akili huyu lematuz

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad