Aliyekua Waziri wa Nishati na madini Sospeter Muhongo Amejiuzulu Wadhifa wake wa Uwaziri Katika mkutano wake wa waandishi wa habari alio uitisha hii leo.
Asisitiza yeye ni msafi, mwenye ushahidi wa uchafu wake awasilishe kwenye vyombo vya dola
Mapema leo hii Waziri Muhongo alikuwa ameitisha mkutano na Waandishi wa habari
-------------------------------------------------
When you wake up every day, you have two choices. You can either be positive or negative; an optimist or a pessimist. I choose to be an optimist. It's all a matter of perspective.
-------------------------------------------------
When you wake up every day, you have two choices. You can either be positive or negative; an optimist or a pessimist. I choose to be an optimist. It's all a matter of perspective.
Safi, huo ndo uungwana japo umechelewa kutoa maamuzi hayo.
ReplyDeletekujiuzuru pekee yake haitoshi, kungekuwepo na Adhabu juu. sasa ikiwa mipango yenyewe ndio hivi basi, kweli tutaendelea, hii Tanzania ni kama nchi zingine za wafrica, maendeleo ni ndoto kutokana na udikteta wa viongozi, kupenda kujilimbikizia mali za umma na wizi liokithili.
ReplyDeleteHivi inakuwaje...kama mtu unadhaniwa kuwa mwizi,kisha unaamuwa kujiuzuru bila hata ya upelelezi kwanza wa kuhakikisha kuwa umeiba au laa!..sasa kama kweli hujaiba kwa nini ujiudhuru?yaani ina maana sasa uongozi kwa Tanzania..ni unaingia madarakani,kisha unaiba..kisha unajiudhuru..unatokomea huko na pesa ua umma...Ama kwelli viongozi mmepata uraisi wa kunywa jasho la wazalendo..Ee Mungu wetu Wamulike hao watu uwatende vya kuwatenda..Wewe Muumba ndo unawajuwa zaidi..kama kweli waliiba au Laa..Ni hayo tu
ReplyDeleteUmeme vijijini, vipi
ReplyDeletehv hakna adhabu yoyote?kujiuzulu 2!
ReplyDelete