Toka Juzi Jamaa mmoja anayejiita Kinglawrenc ambaye inasemekana ni Dereva wa watoto wa Zari huko kwa mume wake amekuwa akiongea mambo mengi ya kumzalilisha Zari kiwemo kusema kuwa ameshalala nae kimapenzi...
Haha yaani huyu dereva aisee hata hajielewi kwa vyovyote kashajua kua Zari ndio habari yanmujini na anajua kua sisi watz tunapenda sana ma umbea akaona aje na style hii ili nae apate followers na kweli kapata maana wabongo na insta kama tumeianzisha sisi yaaani maana waganda wenyewe wala hawashoboki sisi bwana duuh .. Sasa huyu kama ni kaka wa lvan au ndio cuzin iweje saa akalale na shemeji yake kama sio uongo huo nini kwa hiyo yeye ndio anahasira sana kushinda lvan au ?! Kama wewe una uchungu sams mbona na wewe umemzunguka lvan basi!! Alafu cha ajabu Zari hata hawafatilii hao watu kabisa wao ndio choko choko zimewajaaa waacheni Zari na dangote kivyao zari homa Ya jiji kwa kweli daah
Dereva wa Watoto wa Zari Atafuta Umaarufu kwa Nguvu Kupitia Zari na Diamond
13
January 08, 2015
Tags
Pumbavu admin
ReplyDeleteBWEGE tu huyo c kaona diamond anafaidi so kaona aanze kumchafua . Naye huyo mke wa mzungu na kimdomo chake ana roho mbaya kazi kumsema zari ndo mana kimekauka kama mti. Kichawi kile.
ReplyDeletenjaa kali uzunguni kutwa kujikondesha mpaka sura yake haina tofauti na jini makata
DeleteKama kweli ni dereva wake si amfukuze kazi, kwa nini anashindwa kumfukuza. Huoni kuwa Zari pia ni mwongo?
ReplyDeleteNyie waandishi wongo sana. It is Ivon best friend
ReplyDeleteNa utafutaji wake umekubalika kwelikweli .Mana kuna watu wameivalia njuga hii ishu kama nini vile hasa yule blogger Mange kimambi ni sheeeegdaaaaaa!!!!
ReplyDeleteUkweli upo haiwezekani jamaa akurupuke tu aseme yote hayo. Wabongo wanafiki mnashindwa kumshauri Diamond aachane na Zari atafute mke aowe mnasapoti upumbavu akipata madhara nyinyi ndo wa kwanza kumkandia Diamond kujifanya kidume kukupukia wanawake wa wauza unga. Haaaaya yetu macho na masikio project acha iendelee.
ReplyDeleteMhmmm,wabongo hatuna sauti kama yeye mwenyewe Diomond akiamua jambo,Bora hata ungesema Mamake amshauri labda ingekuwa poa.
DeleteSifa zimemjaa na Mamake anakigugumizi kwa mwanae.all in all
mbio za sakafuni huishia ukingoni.TUSUBIRI MZIKI WA DOMO UKIANZA KUCHEZWA! Ni mnyororo.
Umemuona mange tuu eeeh, huyo sintah mbona kavalia njugu essue hii, na ww udaku huyo n best friend wa Ivan.
ReplyDeleteNi kweli mdau umenena mamake Domo mwache ipo cku atajuta waswahili wanasema mtafuta janga hula na wakwao. Tuache project iendelee. ila domo anaendea kubaya hawa wauza unga c watu wazuri kuuwa mtu kwao ni jambo jepesi and they don't care!!!
ReplyDeleteyeye si mjinga kusema hayo anashinda na hao wototo may be wanamlalamikia sasa kwanini asiseme ila mama ndo kashampenda domo ndo basi tena
ReplyDeleteanashinda na watoto amekuwa dada mlezi wao? huyu bwabwa kutwa kununua uchi huo muda wa kulea watoto wa mwanaume mwenzie anaupata wapi??? baiskeli ya kijiji kwa mwanaume kumbe ni sifa eeh???
Deleteanashinda na watoto amekuwa dada mlezi wao? huyu bwabwa kutwa kununua uchi huo muda wa kulea watoto wa mwanaume mwenzie anaupata wapi??? baiskeli ya kijiji kwa mwanaume kumbe ni sifa eeh???
Delete