Diamond Apewe Ofa ya Dola 40,000 ili Amuache Zari The Lady Boss Akatunze Watoto Wake

Katika Hali ya Kushangaza Jana kwenye Mitandao hasa Instagram aliibuka mtu anayejiita Kinglaurenc ambae inasemekana ni rafiki wa Baba watoto wa Zari Akimtaka Mwanamuziki Diamond Kupokea Dola za Kimarekani elfu 40,000 ili amwache Zari Akalee Watoto Wake..Hii imekuja baada ya Zari muda wote kuonekana kuzunguka na Diamond katika Show zake huku akiwaacha watoto wake na baba yao South Africa.


Je wewe Mdau Unamshaurije? Achukue na kuachana na Zari ama Apotezee?

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo mama mtu mzima ndiyo mpumbavu asiyejielewa, unalewa mapenzi ya Serengeti boy hadi unasahau watoto. Dangote asichukue hizo pesa huyo mama akitosheka atabeba mabegi na kurudi kwao kulea watoto. Dah ila aibu sana. Alafu mama mwenzie Sinta anamrusha kwenye blog yake yenye matege eti anamsifia, aibu tupu, kweli wanawake wanaweza kuwa watu wazima lakini kichwani kumejaa pumba tupu, ila sishangi njaa mbaya sana, huyo sinta siyo bure anawezeshwa kupata tonge yupo kazini.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hujaulizwa habari za Sintah,habari za Sintah peleka huko na mabifu yenu.Mbegesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

      Delete
  2. Yeah Kumekucha!!! Don't play with the gangsta Boy!!! Chukua hiyo Dollar achana na huyo Mama!!!They gonna hit your head Boy#becareful!!!!

    ReplyDelete
  3. Huyu diamond cku moja ataolewa we mwache awe na cm

    ReplyDelete
  4. Mbona wengi wameoa wazungu vikongwe kuliko hata Mama waliowazaa lakini watu wanapiga kimya hakuna anaeshangaa mi naona zari yuko poa kwa diamond kuliko hata wema

    ReplyDelete
  5. Huyo sio rafiki wa Ivan ni ndugu yake sijui cousin wake lakini ni ndugu wa damu. Diamond umeingia choo cha kike safari hii, unachukua mpaka wanawake wa madrug lords, halafu unajitiaga kwenda South, shauri yako utamfanya mama yako alie kilio kisicho na mwisho na wapenzi wako wakusahau. Jamaa ndio keshakuwekea dau hivyo. Hivi ni upumbavu gani mwanamke anaacha watoto na wewe hawara unashindwa hata kumkumbusha kuhusu watoto wake? Kuna mapenzi kweli hapo? Waswahili wanasema ukipenda boga upende na ua lake, unamfanya mwanamke atelekeze watoto wake kisha unajidai na wewe unapenda sijui unataka watoto si unafiki huu.

    ReplyDelete
  6. dah, mama anakula serengeti boy mpaka anasahau wanawe, aisee ndo mashuga mummy ya siku hizi haya, maadili mabovu!!

    ReplyDelete
  7. Watu wabaya Dangote utakufa kisa chipopo la mtu mzima wakati watoto wadogo warembo Tz wapo hapo unatafuta balaa kaka yetu usidhani sifa mali za watu hizo pia watoto wa Zari wanakulaani kwa kumkosa mama yao kisa wewe kiserengeti boy!!!!

    ReplyDelete
  8. diamond utapigwa shaba hawana huruma hao, na zari anajifanya anakupenda ili amrushe roho baba watoto wake then wewe uingie mashakani unaona unaitwa shoga sasa endelea na misifa yako ikiwa unaona ndio style ya maisha yako.

    ReplyDelete
  9. Mie simlaumu Diamond kwani Wema pia Ni mkubwa kwake. Mwanamke ndio hana akili cz yy ndiye mwenye uchungu wa kuzaa. Ni chaguo lake kumpenda lakini kutelekeza watoto lol!

    ReplyDelete
  10. Endelea kufanya ufanyacho.....umeamua mwenyewe....its ur life.dont listen to people's advice.

    ReplyDelete
  11. huyo zarina ni mpumbavu kabisa,maana familia ni mama sasa yeye anaendekeza ngono badala ya kulea watoto wake. diamond yeye hana mbegu za kuzalisha ndio maana haoni umuhimu wa watoto wa mwenzie.

    ReplyDelete
  12. huyo shuga mami na hako kaserengeti boy hawana akili kabisa. mwanamke huwezi kukimbia watoto wako kila nyeti ya dangote

    ReplyDelete
  13. ujana ni maji ya motooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  14. Almasi anafikiri anamuumiza Wema, hajui anajiingiza kwenye shimo yetu macho.

    ReplyDelete
  15. Diamond i wish u all the best with huyo zari but once anything happens to you usiblame watu k coz zari ana watoto na lengine bwanake lazima anaona vibaya kuwa anabanjuka na wewe hatta kama alimuacha so its better uachane naye rather than risking ur life coz right now blame zaanza kutoka hujui bwanake aanakuwazianini so plz leave her and stay positive

    ReplyDelete
  16. MMMMmmh jamani, kuna ukweli nae MAMA AKE AACHE USHAMBA WA KIZARAMO WA HUKO TANDALE. AKAE NA MWANAE AMSHAURI. ATAMKOSA MUDA SI MREFU. ATABADILIKA JINA BADALA YA SUKARI YA WAREMBO ATAKUWA SUKARI YA UDONGO Mama Dai. careful.

    ReplyDelete
  17. Daimond mjanja acheni tuu kiingereza kilmpashida akampata wema sasa hivi kibecause anakiweza, iliabadili mashati ya mbagala akamtafuta mama kidoti akawa kimodo, akaona watu wa media wanabana akamshawishi vjpenny huko akakubalika, akaona hapati tution ya kiingereza kwa waswahili akarejea kwa mwalimu wema eh sasa washapeana vyeti sijui kama graduation tayari ila tatizo la ajira akaona awemjasiriamali kaenda kuusomea kwa zarinah dahh kama movie sasa sterling sijui anakoelekea ila dvd itahitaji king'amuzi take care hatuna vocha za digital wastage dogoo.

    ReplyDelete
  18. DIAMOND KULA TANO ZARI NI MTOTO MZURI USIMWACHE!! KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA KAHARISHA MBONA MADONNA ALIOLEWA NA MWANAUME ALIYEMZIDI MIAKA 25 !!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  19. WOTE MAWIVU YENU TU DIAMOND ZIBA MASIKIO ULIWASIKILIZE HAWA . WANA WIVU HAOOO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad