Diamond Azihirisha Kwamba yeye ni Rijali , Ampa Zari Ujauzito ,Wema, Jokate na Penny Mpo?

Baada ya sokosoko kuu la kwanini?? muda wote huu kijana Nassib Abdul – Diamond Platnumz pamoja na list yake ndeeeefu ya mabinti wa bongomovies aliowahi kutembea nao hajawahi kuwa hata na mtoto wa kusingiziwa, HATIMAYE jana kupitia kwenye nyezo za kiteknolojia tumeweza kudokezwa juu ya ujauzito alionao mwanadada ZARI ambao ni fika utakuwa wa kijana huyu anayetamba na wimbo wa “Nitampata wapi” ambao wachunguziwa mambo wanadai ETi ni dedication kwa mpenzi wake maarufu wa zamani.



USHAHIDI WA UJAUZITO HUO

Usiku wa jana, Dimaond aliweka ujumbe unaosema “I can not wait to have you on my hands #Chibu_Junior” akimaanisha “siwezi kusubiri kukuweka kwenye mikono yangu #Chibu_Junior” huku akiambatanisha na picha ya Ultra sound aliyoupiga na Zari (Kama hujui Ultra sound ni nini Tafadhali google) na baadaye Zari naye akapost picha yake akichukuliwa vipimo hivyo bila kuandika kitu chochote na kuwaacha wananchi wakimwagika na comment za kutosha kuhusu picha hizo ambazo fika zinaonesha wawil hao wanaweza kujaliwa mtoto mwaka huu

Je unafikiri hii inaweza kuwa “Project nyingine” au ni kweli wawili hawa wanatarajiwa kuwa wazazi?? Tupe maoni yako

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii ni project tutatangaziwa bahati mbaya mimba imetoka. Chibu you are messing up your life big time with this woman. Anyway enjoy as it lasts.

    ReplyDelete
  2. HONGERA SANA DIAMOND NA ZARI KAMA NI KWELI i cant wait to see your baby!!! nawapendaje!!!!

    ReplyDelete
  3. ahaa Joketi aibu yako ulisema diamond hawezi kumpa mtu mimba!! haya hiyoooo!!!kula 5 diamond

    ReplyDelete
  4. jaman Dimond na Zari if you guys have been blessed with that plz hold it carefully dont use a human life for fame plz a beg mana Mungu atawaadhibu! msije mkakitoa kiumbe kisicho na hatia jaman
    #thoughitseemslikeZariisagoodbabymaker

    ReplyDelete
  5. YETU MACHO NA MASIKIO

    ReplyDelete
  6. Mmmmh hongera zao kwakweli. Pia Nampa big up sana Aunty, wasanii wa bongo movie igeni mfano wa mwenzenu siyo kila siku kutoa mimba tu, umri unaenda mnazidi kuzeeka. Pole kwa Mwengwi wa Moses Iyobo, unapata malipo hapa hapa, ulimtenda mumeo kisa huyo Moses sasa unalipwa hapa hapa. Bado mwenzio Shamim naye amemtenda mumewe kwa kukimbilia mipesa ya Sembe na yeye asubiri malipo yake hapa hapa duniani, maana wanawake wa mjini tamaa zimewajaa mpaka mnatia aibu, badala yake badala ya kuenjoy hiyo miela ya sembe sasa mnazeeka tu siku hadi siku maisha yamewajaa full stress, bora ndoa yenye maisha ya kawaida lakini full amani kuliko ndoa yenye mabilion lakini full stress no amani. Napita ntarudi baadae.

    ReplyDelete
  7. Kweli mdau Shamimu amechoka mwanamke wa kijijini ana nafuu, full stress mpaka amechusha.

    ReplyDelete
  8. Wanaume marijali hawana haja ya kuonyesha scan au kutangaza wanawake zao wana mimba, sie huona watoto tu, mfano Hamisi Mwinjuma tumemuona mtoto wake kama katoa photocopy, Ali Kiba katuonyesha watoto washakuwa wakubwa na wengineo tumeona picha za watoto wao wameshazaliwa.

    Sasa huyu nae ni mwanaume kweli au hajiamini? Mie sio hater lakini inaelekea unalipwa pesa nyingi sana kuwadiss Wema na Jokate, lakini huwapati katu, JOKATE ni level nyingine Diamond hawezi mfikia tena. Wema na mwanamke wa shoka haya mambo wala hayamuumizi ndio kwanza unampandisha chati.

    ReplyDelete
  9. ukijiamini usikilizi maneno ya watu,wakisema wee huna uwezo kumpa mtu ujauzito kazi yako wee iwe kufyatua copy hakuna kusema eti nimepa mimba fulani aah! unatoa copy za kutosha wakuheshimu

    ReplyDelete
  10. Zari ni mjasiliamali wa ukweli yani anawekeza kwa watu wenye pesa tu, hapo tayari ameshakuwa na uhakika wa kula, kulala na kuvaa kwa miaka kibao. anazaa na wanaume wenye pesa tuu. akijua kwamba atapata Child Support. Good Strategy Zari, Keep up the good hunting

    ReplyDelete
  11. hongerene sana kama ni kweli. diamond mpiga kazi nzuri katika anga za mziki ameamua kuweka hadharani ili kuwajibu waliomwambia kuwa hana uwezo wa kumpatia mwanamke mtoto. hakutaka kujibishana nao kama mwimba taarabu, akaamua kumtafuta mwanamke nje ya tz na atakayekuwa tayari kumzalia mtoto ili awajibu waliomwambia hana uwezo. big up kaka mtunzeni kijacho wenu "junior nasib". mtoto ni raha, furaha, analeta amani na upatanishi. nawapa pole wanaotoa mimba kwa kuogopa kuzeeka. mung awatunzie

    ReplyDelete
  12. wapime na ukimwi.

    ReplyDelete
  13. Mr. Man, u definitely made the wrong choice! be ready for the single mother's wahala

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad