Jamani Mahaba Kitu Kingine , Mwanzo tulijua Nuhu Mziwanda pekeake ndio mwenye ujasiri huu wa kujichora tattoo ya mpenzi wake ..lakini sasa list imeongezeka , Mrembo Naima nae avunja Ukimya , Ajichora Tattoo ya mpenzi wake Dogo Aslay .
Naima ni yule binti aliyekuwaga kwenye beef na Wema Sepetu wakimgombania CK..
Je unaushauri Gani kwa Dogo Aslay ?
aache mambo ya kijinga badala yake asome shule
ReplyDeleteNaona wanafanya hvyo ili kuwachota akili hao wenzao na kwamba wawe wanawapa stress kila wakitaka kuwapa vibut wawaze na tattoo je!na Huyo NAIMA SI ALISHAJICHORA TATTOO YA CLEMENT wakat ana bif na wema!
ReplyDelete1 Comment to her----------- SHE IS A WHORE,A PAPER SNITCH
Mimi sioni cha ajabu. wajipange vizuri tu kimaisha kwani fainali ni uzeeni.
ReplyDeleteLenye mwanzo lina mwisho. Angalia mwisho usiwe mbaya.Maisha siku zote ni kujipanga. Mapenzi mbwembwe tu. Na ni mazuri kwa mtu mwenye future na wewe. Maisha huwa yanabadilika, jipange na kufanya matumizi yenye tija kwani majuto ni mjukuu.
ReplyDeleteJe; Dogo Aslay kaachana na mke wake wa ndoa kisha kaendea Neima...Boi adivaisi ya bure mrudie mke wako n toto lako bana acha za Naima na za ovyo
ReplyDelete